1. Ugonvi wa watoto:
watoto wanapocheza pamoja wakigombana, jambo aya ni wazazi wa watoto kugombana pia kwa kesi za watoto, unless hizo shida zinaleta hatari ya maisha, usiingilie, mtagombana kisha baada ya muda watoto watacheza pamoja wakati nyie watu wazima mmeshagombana.
2. Wapenzi:
mambo ya...