Star wa Simba amepata msiba wa kifiwa na baba yake mzazi,
Binafsi Nampa pole Kwa msiba huo
Kibu ni star wa football TANZANIA amecheza mpira muda mrefu na sasa yupo Simba analipwa zaidi ya milion 20 Kwa mwezi Ana bonuses mbalimbali
Anacheza timu ya taifa
Ajabu mzazi wake anakufa marafiki...
Wakuu.
I salute you kinsmen.
Huyu kijana ni uwezo wake mkubwa ndio ngumu kuuelezea
Alianza kuwa lulu tangu alipokuwa Tabora na sasa ni TRA inaitwa.
Leo yupo team kubwa yanga na dakika chache alizopewa tu boom!
Assist moja, chap chap.
Niliona kwenye mazoezi kijana anapewa free kick apige na...
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuna uwezekano wa klabu kuwauza nyota wake watatu, Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua.
"Mambo yasipoenda sawasawa watarudi kuja kuitumikia mikataba yao," ameomgeza.
Rastaman Denis Kibu,
Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani.
Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu ulionao. Hizi ni silaha zako kuu na usiziache kamwe.
Nakushauri mambo matatu ya kuacha au kubadilisha...
Wakuu,
Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mara ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December 5 2023
Soma Pia: Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex |...
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo.
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea...
Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
Rasmi: Kibu Dennis ni...
Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao.
"Katika malengo yetu msimu huu moja
ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu kuusika kabla ya goli?.
Mpanzu ni machachari sio hatari ana work rate kubwa tu kama Kibu wanakupa...
Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars.
Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
Kibu Denis ndio kiungo mshambuliaji pekee aliyebaki kuokoa jahazi la Simba, mechi ya leo angeimaliza mapema kabisa.
Kwa sasa tutake tusitake mchezaji Kibu Dennis ana umuhimu mkubwa sana ndani ya timu yetu, bila yeye Simba haionekani kabisa kucheza dimbani.
Tukubali tusikubali Kibu Dennis...
Wanasema kwa mpira wa sasa, magoli mengi yanatokea kwenye mipira ya kutengwa.
Wengi wanadai Denis Kibu sio mchezaji mzuri kisa hana magoli au assist nyingi ila wanasahau ni mmoja wa wachezaji wenye kuchezewa faulo kuliko mchezaji mwingine katika ligi ya NBC (ni mtazamo tu ila sina takwimu...
Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha.
hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli.
Mwisho kabisa hatuoni akifunga.
Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi mashabiki hatukioni makocha wanakiona?
Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli...
Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu...
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.
Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja...
Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu.
Soma Pia:
Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka
Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.