kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  2. Zifuatazo ndio sababu 5 za kutafuta ushauri wa kibiashara

    1. Kukosa kujiamini au kutojiamini. Mara nyingi usipotambua mapema kuwa ndani yako ni mfanyabiashara. Huwa anakua na wasiwasi wa kuanzisha biashara yeyote. Lakini kuna njia nyingi za kupitia kabla haujaanza biashara. Na pale unapokua hauna wazo la kibiashara ni lazima upitie njia izo ili upate...
  3. S

    SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara

    Moja kati ya vitu muhimu sana katika kuinua uchumi wa nchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, na kadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  4. Masharti ya mikopo ya kibiashara yapunguzwe

    ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa ushauri kwa taasis zinazo jihusisha na mikopo na serikali kwa ujumla. vijana wengi wanao toka katika...
  5. F

    Taasisi za dini hasa za Kikristo zipo kibiashara zaidi

    Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo. Ukienda kanisani siku ya Jumapili, utakutana na msululu wa michango kwa mwanajumuiya na harambee ambazo wengine...
  6. Ongezeko la Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Tanzania ni fursa kibiashara

    Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya biashara katika karne ya 21 hasa kutokana na urahisi wa kufanya biashara na kuongezeka kwa fursa ukilinganisha na biashara nje ya mitandao. Zaidi ya nusu ya watu bilioni 7.8 duniani wanatumia mtandao wa intaneti, ambapo kwa jicho la kibiashara, hiyo...
  7. Milango ya kibiashara yafunguka Kenya na Tanzania baada ya kuondolewa kwa vikwazo

    Kuondolewa kwa Vikwazo 30 Kati ya 64 vya kibiashara baina ya nchi ya Tanzania na Kenya, kumechangia kufunguka kwa milango ya kibiashara katika Mpaka wa Namanga. Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu. Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu...
  8. Naomba kujuzwa potential ilioko Kigamboni kibiashara

    Habari wadau, Nipo katika misele misele najaribu angalia maeneo mbali mbali yenye potential hapa mjini? Ila nimekuwa interested na kupaelewa Kigamboni kwa wakazi wa huko najua mpo humu mnaona kuna potential kibiashara? Je, biashara zipi ambazo zinaweza kufanikiwa kirahisi kwa eneo hilo? RRONDO
  9. B

    Serikali iruhusu uwekezaji wa kibiashara katika Magereza ili wafungwa wanaoweza kugharamia walipie na kutumikia vifungo vyao

    Kwanza kabisa niwasalimu kwa salamu ya kitaifa, KATIBA MPYA WANA JF. Kimsingi nimekuwa nikijalibu kupata taarifa mbalimbali za huduma za magereza duniani. Unapozilinganisha na za magereza zetu unaona ni kwa jinsi gani hali ilivyo mbaya kwa magerza zetu. Na kwa kuwa lengo la kuwa na magereza...
  10. Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  11. Mbeya Mjini kuna Vyuo vingi. Je, hivi Vyuo vinawezaje kuwa fursa ya kibiashara?

    Kutokana na utitiri wa vyuo hivi, je unaona kuna fursa ipi ya biashara. Vyuo hivi hapa CHUO - SEHEMU MUST - Iyunga MCHAS (Tawi la UDSM) - Mjini TIA - Airport ya zamani MZUMBE - Foresti SAUT - Foresti UTUMISHI (tpsc) - soko matola ADEM - Foresti UCC (Tawi la UDSM) - uzunguni CBE – Mjini TEKU -...
  12. Tanzania na Kenya zimetia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo alisema kuwa utiaji wa makubaliano hayo ni mojawapo ya jitihada za kuwezesha mahusiano ya biashara na nchi jirani kufuatia ziara iliyofanywa nchini Kenya Alisema jumla ya vikwazo 37 vilijadiliwa katika mkutano wa pande zote hapo...
  13. Kwanini Umiliki Biashara badala ya kumiliki mfumo wa kibiashara?

    Habari za wakati huu; Leo nataka tuzungumzi kitu kinaitwa "Business Model"aka mfumo au muundo wa Biashara.Wajasiriamali wengi huwa wanakama katika Biashara kwa kujikita zaidi kujenga Biashara badala ya kujenga Business Model.Ndio maana wengi hujikuta wakifanya bashara za kuigizana bila kuwa na...
  14. Niende mkoa au jiji gani kwaajili ya kufanya biashara ya mitumba?

    Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa. Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika Sekta ya Biashara. Mimi ni kijana ambaye kwa sasa naishi Kigoma mpaka hapa nahisi napoteza welekeo...
  15. Wenye wazo la ushawishi la kibiashara, karibuni

    Wanatakiwa vijana watano (5) wenye wazo la ushawishi la kibiashara, kila mmoja wazo lake lisizidi mtaji wa shilingi laki moja. Faida atakayoipata kwa mwenye wazo zuri, ni tutawekeza fedha na tutagawana faida 60/40. Kama wazo litakuwa zuri sana na baada ya kufanya majaribio na kuthibitisha liko...
  16. Je, ni kweli ili mtu uendelee kibiashara ni lazima ufanye ushirikina?

    Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa. Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…