kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kila dalili Gachagua kushinda kesi na ku-renew Madarakani

    Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Shahidi wa kwanza kamaliza kesi ya Gachagua

    Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum. Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua amebakia kushangaa. Kama yeye aliyeleta Muswada wa kumuindoa Gachagua madarakani anashindwa kujibu maswali...
  3. JamiiForums Tanzania Mbape kwenye kesi ya ubakaji Stockholm

    Mbappe kaenda zake kula bata,na team nzima washauri,walinzi,madoctor atabaka saa ngapi? Akimtaka binti yoyote yule in didy style hamna atae mzuia.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anahalalisha uvunjifu wa sheria? Hizo kesi anazosema auziwe yeye atazimaliza vipi au anatuma ujumbe gani?

    Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Madeleka aitupia lawama mahakama kesi ya Afande Fatma Kigondo anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu ubakaji wa "Binti wa Yombo"

    Anayetajwa kuwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Fatma Kigondo, amejikuta akihusishwa na tuhuma nzito za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti anayeishi Yombo Dovya, Dar es Salaam. Tuhuma hizo zinamweleza kuwa aliwatuma vijana wanne, akiwemo askari wa vyombo vya usalama, kutenda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Mahakama kusikiliza kesi Kwa kiswahili na kuandika Mihutasari yake Kwa Kiingereza?

    Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  9. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

    Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wa Magereza, itatolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Kesi hiyo ya jinai...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Hija Hamis ahukumiwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) ambaye ni mkazi wa Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya Mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  12. JamiiForums Tanzania Je Diamond, Babu Tale na Burna Boy wanaweza kuitwa kutoa ushahidi kwenye kesi ya P Diddy?

    Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza? 1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya? 2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya P Diddy ni ndogo sana,wazungu hawana tatizo na mapenzi ya jinsia moja

    Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18, Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga. Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa.. Wazungu wanajua kutetea haki za ; 1...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mpina walivyoijibu Serikali kesi aliyomfungulia Spika, Waziri wa Kilimo

    Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali. Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
  16. JamiiForums Tanzania Azam kufungua kesi,TFF kuipokonya Sumba magoli mawili ya offside na alama tatu

    Hongera tumu ya Azam kwa kudhamiria kukomesha bahasha na wale wote wanaodhamiria kuvuruga mpira wa Tanzania. Ni matendo yanayopaswa kukemewa na mtanzania yeyote mzalendo na mpenda soka. Azam walistahili ushindi lakini kutokana na ubovu wa muamuzi, ambaye siku zote amekuwa na maamuzi mabovu...
  17. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tigo, kuhusu issue ya Lissu mnayo KESI ya kujibu: Someni hapa

    Tigo someni mifano mingi ya kesi zinazohusisha uhalifu, teknolojia, na uwajibikaji wa kampuni ambazo zilishughulikiwa kwa mafanikio. Hapa kuna baadhi ya mifano maarufu: 1. Kesi ya "Blackberry: Katika miaka ya 2010, kampuni ya Blackberry ilihusishwa na kesi kadhaa za uhalifu ambapo taarifa za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania law technicalities: Kesi ya Boniface Jacob- Kutoka Fatma Karume on - Framing a charge, if this is to be the way You will never WIN!

    Fatma Karume anasema: Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye BURDEN of proof. Can you prove a NEGATIVE beyond reasonable doubt? To make it easy for you DPP: Unaweza...
  19. JamiiForums Tanzania TUPINGE MNYIKA KUPEWA KESI YA MAUAJI NA UTEKAJI

    Kuna dalili na kila namna J Mnyika kupewa kesi ya mauaji ya mzee Kibao na utekaji. Niliwahi kusema na kurudia kuwa Police wanataka bambikizia kesi CHADEMA .
  20. JamiiForums Tanzania TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

    Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake. YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…