kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naamini watu kama godlove na huyu mdada aliepata kesi ya utapeli ni watu wa waina ya "project maalum" inayoandaliwa na watu kwa ajili ya kazi maalum

    Yani over sudden unashangaa mara pap mtu amekuwa MAARUFU. alipotokea hatujui, alipopitia hatujui, ila mnakuwa overwhelmed na umaarufu wake unaokuwa engineered labda na urembo wake, pesa zake, scandal, etc Watu hawa wanachukuliwa kwa ajili ya kutimiza matakwa fulani mfano kuzubaisha watu dhidi...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo kesi ya Yanga itakavyokuwa huko CAS

    CAS ; CAF inasisitiza mchezo wa mpira uchezwe kwa gharama yoyote, Kwanini mmeahirisha mchezo halali wa Ligi? Kulikuwa na hali mbaya ya hewa? TPLB; Hapana CAS; Kifo labda cha mchezaji, kiongozi yeyote mkubwa? TPLB; Hapana CAS; Tishio la ugaidi, vita na uthibitisho kutoka mamlaka husika...
  3. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wananchi 100 wa Mitamba - Kibaha waliobomolewa makazi yao wafika Mahakamani Kuu (Dar) kusikiliza hatma ya kesi

    Zaidi ya wananchi 100 kwa niaba ya wenzao kutoka Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani wamefika katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Aridhi wakiambata na Wakili pamoja na baadhi ya viongozi wao kusikiliza shauri lao, ambapo wananchi takribani 3000 wanadai kuchukuliwa ardhi yao na...
  4. JamiiForums Tanzania Nifanye nini au nizingatie Nini ili kujiepusha na kesi za mahakamani na purukushani za polisi?

    Binafsi ni muoga sana wa masuala ya mahakama najua yanaweza kupoteza muda na fedha pia, lakini pia kupoteza dira ya maisha kwa ujumla. Sasa basi nizingatie mambo gani ili nisije kujikuta kwenye hatia yoyote ya mahakamani au polisi. Ahsante sana.
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Nicole Joy Berry yakwama, upelelezi bado haujakamilika

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeshindwa kuendelea na kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii Joyce Mbaga, maarufu kama Nicole, kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika. Mbali na Nicole (32), mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Rehema Mahanhu. Wote wawili walifikishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili. Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la...
  7. JamiiForums Tanzania Hii kesi inaamuliwaje hapa?

    Hii ni jana hawa waheshimiwa wakipita barabara ya mwendokasi Mtongani na hiki ni kituo cha Msikitini bondeni.
  8. JamiiForums Tanzania Kesi za ardhi na MIRATHI wanamalizana sana aisee

    Jana nilikuwa nazika dogo MMOJA pale Arusha sekei Kijana amekuwa na bosi wake miaka kama kumi Wakafanikiwa KWENDA kununua kiwanja bagamoyo hk 4 BOsi wake hakufanjkiwa kukiendeleza Wakaakaa kama miaka 5 wakaenda kukifatilia wakakuta nusu kimeuxwa na kuna watu wameshajenga sio mtu MMOJA...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nicole amekosa dhamana karudishwa rumande baada ya kesi yake kusikilizwa

    Mwigizaji Joyce Mbaga (32) maarufu kama 'Nicole Berry' leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Jijini Dar es salaam amesomewa mashtaka matatu ikiwemo kuendesha genge la uhalifu na kupokea shilingi za Kitanzania milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
  10. JamiiForums Tanzania Wanasheria Mje mtusaidie: Naweza kufungua Kesi Mahakamani kudai kurudishiwa Gharama zangu Kwa kuahirishwa Mechi ya Yanga na Simba.

    Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam. Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi. Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba inabidi wajipongeze Bodi ya Ligi kununua kesi yao

    Tukiacha ushabiki viongozi wa Simba waliweka mtego na Bodi ya ligi imejaa kwenye mfumo, kiuhalisia hakukuwa na sababu yeyote ya msingi ya Simba kugomea mechi. Lakini kwa Sasa Hivi huwezii kusema Simba aligomea mechi ila Bodi ya ligi iliahirisha mechi kwa hiyo mpaka saivi Simba kwa kufuata...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi nyingi za wanandoa ni kupangiana au kunyima unyumba

    Ni aibu sana au kukuta mtu jasiri akitamka kuwa mizozo na kushindwa kuelewa ni unyumba. Shida hii inaweza kuwa kwa mwanaume au mwanake kila mtu kuwa na sababu zake mfano utafutaji,kukosekana kwa ubunifu,kupungua kwa mapenzi,kuzoeana na kujuana sana kabla mjaingia kwenye ndoa. Sababu zengine...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe vs Msigwa imefikia wapi?

    Kesi ya defarmation ya Mbowe vs Msigwa iliishaje?/imefikia wapi? Mwenye taarifa atujuze Mbowe amgeuzia kibao Msigwa, ataka amlipe fidia bil. 5/- madai kumkashfu By Grace Gurisha , Nipashe Published at 07:46 AM Sep 07 2024
  14. O

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

    Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya maadili inayowakabili Ali Kamwe na Ahmedy Ally yasogezwa mbele na TFF

    Kesi ya Ahmed Ally na Ally Kamwe iliyowapeleka kuitwa kamati ya Maadili ya shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) imepelekwa mbele mpaka hapo kesho. === Mapema leo, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote wameitwa kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini hayati Magufuli alipenda kuendesha kesi akiwa njiani kwenye misafara yake?

    Wakuu salama… Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana. Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato. Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
  17. JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kulawiti Mtoto kwenye Vyoo vya Kanisa ashindwa kutoa Ushahidi, adai anaumwa, kesi yaahirishwa hadi Machi 3, 2025

    Mshtakiwa katika Kesi Namba CC.5866, Baraka Benedicto ambaye anashtakiwa kwa kosa la ulawiti, licha ya kufika Mahakamani, Februari 26, 2025 ameshindwa kutoa ushahidi wake kama ilivyopangwa kwa maelezo kuwa anaumwa. Kesi hiyo ambayo ina kipindi cha mwaka mzima tangu ilipoanza kusikilizwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni upi Wajibu mpya wa Jamhuri katika kesi za Mauaji ambazo washukiwa wa mauaji huachiwa huru na Mahakama kwa Hoja za Ushahidi kua na mashaka n.k

    Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya. Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa. Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na masuala ya ushahidi, mwisho kesi ikaanza. Hatimaye, Washukiwa kuachiwa Huru !!. Ni kama Kesi...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyemchoma Mkewe Kwa Mkaa, ahukumiwa Kifo , ila Marehem Dada wa Bilionea Msuya , hakuwahi pata Haki yake

    Hizo ndo Mahakama zetu sasa , Wenyewe Wana Lugha yao utasikia "Technical Errors" https://youtu.be/ydRPqeEjo68?si=fXGHbowBJnoiD4pW
  20. JamiiForums Tanzania Diamond akiendelea kula kuku wakienyeji atakuja kubambikiwa kesi ya ubakaji

    Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata. Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel. Kuna siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…