kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Kitu mnachoweza kumaliza kwa siku 2 mnasema mpaka miezi 4. Kauli ya mbiu ya haki sawa kwa wote kwa wakati ifuteni

    Wakuu, Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi "Haki sawa kwa wote mapema...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aanza kuwaaga wanachama na wafuasi wake kwa huzuni na hisia sana. Je, ameshajua mwisho wa kesi yake na haki yake anayostahili?

    Muungwana amejawa hofu, mashaka na wasiwasi wa kiwango cha juu mno. Ujasiri umeyeyuka kabisa, muungwana anatia huruma tu hivi sasa. Ama kwa hakika, majuto ni mjukuu, na kifo cha nyani miti yote huteleza. Sote ni mashuhuda, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa kuhusu kesi mahakamani, na imefikia...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi mashahidi watavyotoa ushahidi wao kesi ya Lissu

    Hebu tucheke kwanza! Hii kesi gani kama si aibu tupu? Mnataka kumshtaki Lissu kwa nia tena ya watu wengine eti walihamasika wakati hakuna kitendo chochote? Kuweni na aibu kidogo @judiciarytz hebu DISMISS this case urgently! Hakimu Kiswaga ulitaka livestream izimwe kwa sababu ulijua madudu haya...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya ilionesha wazi kuwa Tanzania Mahakama zetu zinafanya kazi kimalekezo

    Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tunaomba wakili Katuga, jembe la Samia, apewe kesi zote za kimataifa, hatutalipa fidia tena

    Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na...
  7. JamiiForums Tanzania kwa hii Kesi ya mh Lissu nimeamua kuwa upande wa uhaini

    Sisi wanajamhuri tunamshitaki Lissu kwa uhaini ..Lakini kwa niliyo yasikia pale mahakamani jana ni aibu tupu.. Natangaza bora niwe upande wa uhaini . Jamhuri bakini na aibu yenu
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya...
  9. JamiiForums Tanzania WANASHERIA WA MASUALA YA ARDHI NA NYUMBA NAOMBA MAWAZO YENU YA SUALA HII KESI.

    Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Dhidi Ya Lisu Ni Mwendelezo wa Uharamia wa Wakati Wote, Sawa Walivyotendewa Waliouawawa na Waliotekwa, Lakini Hakuna Kesi.

    CCM na watawala waovu wameendelea na uovu wao dhidi ya haki. Anachofanyiwa Lisu na polisi, magereza, na mahakimu, na majaji mchongo, ni mwendelezo wa uovu ule ule aliofanyiwa Ali Kibao, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi. Ni mwendelezo wa uovu ule aliofanyiwa Baba wa Kiroho na Katibu wa Baraza...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali hamishieni kesi ya Lissu hukohuko Gerezani Ukonga ijulikane moja

    Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu. Si mpenzi wa CHADEMA. Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli. Sasa tunaambiwa: -mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa - utangazaji wa kesi sasa ni siri -ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwa tusi hili na ushahidi naweza kufungua kesi?

    Kuna jamaa amenitukana matako ya bibi yangu Pia akasema navuta bangi na kuvuta unga mbele ya watu Je naweza kufungua kesi? Ushahidi wa simu ninao pia
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

    Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: 1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya. 2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi. 3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka. Fanya mambo haya matatu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya Tundu Lissu itakuwa ya 3 kwa kuvuta hisia za Watu baada ya ile ya Mamwindi ile ya Hanspope Mhaya Uncle Tom

    Kwa namna ilipofikia japo Inawezekana kuishia katikati lakini imeshavuta hisia za Watu wengi sana hadi Kenya na Uganda Tuko hapa na Mzee Mgaya tumejikuta Tunakumbushana Kesi za wale Wanyalu Mamwindi na 1980s ya hawa Wanyalu wagiriki akina Hans Pope kwa namna zilivyomkasirisha mwalimu Nyerere...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri haijaanza hadi sasa, Huenda kesi isioneshwe live Leo

    Inaonekana Leo mahakama inaweza isioneshe kesi ya Lissu Live. Maana mpaka muda huu wanashauriana kama wairushe live au lah. Hii ni kuandaa watu kisaikolojia pale itakapotangazwa ya kwamba mahakama imekubaliana na ombi la wakili wa serikali.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hakimu ana njama na Serikali kwenye kesi ya Lissu?

    Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini? Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lisu; naiona mianya ya kutumika na watawala

    Napata mashaka sana juu ya hii movie ,kwa muonekano na muda alioshikiliwa Lissu afya yake haisadifu mazingira anayosema yupo kwa wakati huu. Nikirudi nyuma maneno yaliyopelekea kukamatwa ni wazi hutegemei mtu wa level za ujuzi wa sheria kama Lissu ayatamke kwenye hadhara. Katika moja ya kesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…