kesi za uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Kesi ya Uhaini inayowakabili vijana 3 yapigwa tena kalenda hadi Machi 16

    Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kesi mbili (2) tofauti zinazowakabili vijana watatu (3) wanaodaiwa kuvunja, wizi na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa ni za wizi zimetajwa leo Mahakamani hapo kwaajili ya kutolewa uamuzi Hata hivyo uamuzi wa kesi zote umeshindwa...
  2. Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi

    Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi. Wewe ndio muasi na yeye ni mtetezi na mpigania haki huwezi kushinda hiyo kesi lazima utaulizwa umeuwa watanzania wengi na kuteka hadi maiti kwa sheria gani ?
  3. PostGE2025 Paroko George Nzungu kwenye mazishi ya Wakili Beatus: Vijana walioenda kuiba gesi na bia kwenye maandamano wana njaa

    Mazishi ya aliyekuwa Wakili mtetezi wa watuhumiwa wa maandamano wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka huu, Beatus Linda, yamefanyika jana katika makazi ya familia yao eneo la Nyamhongolo, Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza. Mazishi hayo yalitanguliwa na ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia ya...
  4. PostGE2025 TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za uhaini

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya kidijitali, juu ya wajibu wao wa kufuata sheria na kanuni za mawasiliano katika kutoa habari kwa...
  5. Njoo tuchat Kwa code ili kukwepa kesi za uhaini

    Kupewa kesi ya uhaini huko nchini Azabaijan ni jambo kawaida Wahuni wamekuwa wakidukua sms za kawaida na chatting za Whatsapp, Nawapa mbinu mpya za group letu Mfano maneno 9D Kutembelea Sister p 00001 77777p Mrembo p 3337j S pq6 j 37 TLTq81m 🔥 TK Yuf5d1 N K T 0 R V F y W A Tj 💣 M 3 k 7 😹 N...
  6. R

    PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  7. R

    PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  8. Watoto wetu mmewapa kesi za Uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya Gari ya kifahari

    Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
  9. GE2025 Walifunguliwa Kesi za Uhaini wengi uelewa wao wa kisheria ni mdogo na hawana uwezo wa kulipia gharama za Mawakili kwa ajili ya kuwawakilisha

    Ungiangalia wengi ni vijana wadogo sana yani umri wao miaka 19 hadi 25 kihuhalisia bado ni wakijitafuta kwenye maisha na wengine pia walikuwa ni kufuata mkumbo wa kudai haki lakini athari zake hawakuzifahamu baadae kitatokea nini. ================ Mawakili wanaowatetea washtakiwa wa kesi za...
  10. PostGE2025 Wakili Maduhu: Jumla ya watuhumiwa 641 wamefikishwa mahakamni kwa kesi za uhaini, unyang'anyi wa kutumia silaha na kufanya vurugu

    Wakili Maduhu Williams kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) amewaeleza Jumla ya watuhumiwa 641 wamefikishwa mahakamni kwa kesi za uhaini, unyang'anyi wa kutumia silaha na kufanya vurugu. Katika Mkoa wa Dar es salaam kuna watuhumiwa 240 wamefikishwa mahakama ya Kisutu kwa...
  11. DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  12. E

    PreGE2025 Wapinzani Afrika wanavyopambana na kesi mahakamani

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akipambana na kesi zake mahakamani ikiwamo ya uhaini, wapo pia wanasiasa wa upinzani Afrika walioonja joto ya jiwe kwa serikali wanazozipinga na hata wengine kutupwa jela. Kesi ya Lissu imekuja wakati akiongoza kampeni ya No Reforms No Election (Hakuna...
  13. I

    Mmekuwa watu wa kucheza na dola mkijua Rais Samia atakuwa mtu wa kuwafutia kesi!

    Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuingia madarakani mwaka 2021 na kuombwa sana na Wanachadema na makundi mbalimbali kwenye jamii kuhusu kufutiwa kesi ya Ugaidi iliyokuwa inamkabili Mh Freeman Mbowe na wenzake,kwa hekima kubwa na kulinda 4R's zake alifanya hivyo! Kupitia kwa Mzee Jakaya Mrisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…