kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Watu wanahoji maridhiano, unaridhiana na nani? CHADEMA siyo tuvyama hutu twa mfukoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu | Shahidi wa Siri (P6): Lissu alisema tunakwenda kuvuruga uchaguzi na kukinukisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aachiwe huru sasa!

    Tanzania ilijengwa juu ya misingi ya haki, usawa, na heshima ya uhai wa binadamu. Lakini ni lazima tujiulize kwa ujasiri: Je, bado misingi hiyo inaheshimiwa? Je, Taifa linaweza kusonga mbele wakati haki inapokanyagwa, sauti kunyamazishwa, na uhai kudharauliwa? Leo, suala la kuachiwa huru kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

    Wakuu Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone Fuatilia mwenendo wa kesi...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

    Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu, mahakama kutoa uamuzi wa mapingamizi leo Feb 11, 2026

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Katika kesi hiyo namba 19605/2025...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani

    Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea Februari 9 hadi Machi 6, 2026

    Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama akihoji ukimya wa kesi yake

    Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Mkuu, kesi ya Uhaini ya LISSU kulikoni? Umma wa Watanganyika Mahakama uieleweje?

    Tukisema judiciary is 100,000,000% compromised mnasema tunawasema vibaya! Katika hali ya kawaida, kesi hii ilibidi iwe imeisha Mtu akisema with certainity kuwa you are operating under instructions atakuwa mwongo? Why all this injustice? Basi ufahamishe umma kuna nini kinazuia kesi isiendelee!
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nov 12: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa

    Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo iliahirishwa Jumatatu ya Novemba 10, 2025 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Thawabu Issa kuieleza...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kizungumkuti Makahama Kuu, Lissu hajafikishwa kuendelea na kesi ya Uhaini kwa sababu za kiusalama

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Novemba 10.2025 Hata hivyo, tofauti na siku zote ambapo Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu kuendelea leo Novemba 10 baada ya kukwamishwa na uchaguzi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu iliyoahirishwa kupisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, inarejea leo Jumatatu, Novemba 10, 2025. Kesi hiyo inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam na jopo la majaji watatu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

    "Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Polisi Mahakama Kuu Dar, Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa leo Oktoba 13, 2025

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa kusikilizwa leo.
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa!

    "Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Nina kesi ya kunyongwa, sina cha kupoteza; nipo tayari kufa lakini nitakuwa na amani ya kusema ukweli

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu Waheshimiwa Majaji jana mliotoa order ya watu kuingia mahakamani kama sheria inavyosema na kama mlivyoelekeza. Mimi nilileta majina na mmoja wa watu wanaotakiwa kuingia ni mgeni wangu kutoka nje. Naambiwa amezuiliwa na uhamiaji hapa mlango wa mahakama...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu alivyofikishwa leo mahakamani kwa ajili ya kuendelea na kesi inayomkabili

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu afikishwa mahakamani leo Oktoba 7, 2025 kuendelea na kesi inayomkabili dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayohusu uhaini. Soma pia: Kinachoendelea Mahakamani kwenye Kesi ya Tundu Lissu, leo Septemba 22, 2025
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…