kesi ya tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    PreGE2025 Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025

    Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini ambayo yanaweza kupelekea hukumu ya kifo, baada ya kukamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba...
  2. PreGE2025 Bashungwa atoa ufafanuzi kesi ya Tundu Lissu kusikilizwa kwa Mahakama Mtandao, aagiza Polisi kuendelea kudhibiti matishio ya kiusalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao wakiwa magerezani kupitia Mahakama Mtandao, hasa kunapokuwepo na viashiria vya matishio ya kiusalama...
  3. Kisheria, nini kitafanyika iwapo Tundu Lissu ataendelea kukataa "kutokea kwenye mahakama mtandao" ili kujibu mashitaka kesi yake yanayomkabili?

    Kila mtu anashangaa ni kwanini kesi ya jinai (yenye makosa matatu ya uchochezi) na ya uhaini (treason) zote zikimkabili mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Ndugu Tundu Lissu zimekuwa na complications za ajabu ajabu kiasi hiki.. Mlolongo wa matukio: Tarehe 10/4/2025: ➡Afikishwa kwa mara ya kwanza ktk...
  4. PreGE2025 Chacha Heche aeleza masikitiko yake kuhusu kuzuiwa kwa Wananchi Kesi ya Tundu Lissu Kisutu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara Chacha Heche ameeleza masikitiko yake kufuatia hatua ya Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kuwazuia wafuasi wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kuhudhuria kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu...
  5. Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

    Bravissimo Al-Jazeera! Hapendwi mtu wala haogopwi mtu. Afanyaye zuri na jema, atapongezwa. Atayeharibu, atachanwa tu. Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu. Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee...
  6. Tundu Lissu Yupo Sawa Kugomea Mahakama Mtandao – Haki Haiwezi Kutolewa kwa Mtandao Pekee

    (1) Tundu Lissu si mwanasiasa tu – ni wakili wa mahakama kuu, na mtetezi wa haki za binadamu kwa miaka mingi. Kugomea kwake Mahakama Mtandao si ubishi wa siasa, bali ni sauti ya tahadhari kwa mustakabali wa haki Tanzania. (2) Kwa nini Lissu anagomea Mahakama Mtandao? Kwa sababu anajua kuwa haki...
  7. PreGE2025 Mwandishi wa Habari wa Global TV asimulia alivyokamatwa na Jeshi La Polisi mahakamani Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Wakuu, Akiwa anazungumza muda mfupi baada ya kuachiwa na Jeshi La Polisi, mwandishi wa habari kutoka Global Online TV Grace Khuni amesimuliwa namna ambavyo alikamatwa na Jeshi La Polisi wakati ameenda kuripioti kesi ya Tundu Lissu "Nilikuja kwenye majukumu yangu kikazi, (polisi) wakaniuliza we...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…