Hapo ni magumashi na wanalia timing tu, hakuna kitu wanafanya au yeye anafanya kita leta constructive change.
Kubali ukatae that's a plain truth..
Kesi week nzima, haiishi... Mara mtu aambiwe hana kesi, mara wazushe nyingine, hii yote ni kwa sababu katiba hakuna.. And that's the weapon