kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tuuombee Mkutano wa SADC kesho Ili Mgogoro wa DRC uoate suluhu

    Kesho moja ya agenda,kimsingi agenda kubwa ambayo masikio ya wengi yanasubiri kuona maridhiano ya mgogolo wa huko DRC unafikiwa muafaka.Tuendelee kuwaombea afya njema wahusika wote wakuu ikiwa ni pamoja wa maraisi wa DRC na Rwanda.Pia wawe na moyo wa huruma kuhurumia mamia ya wanawake na watoto...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  3. JamiiForums Tanzania Soko Jipya la Mbuyuni, Moshi Manispaa, lenye thamani ya Tsh 200 milioni kufunguliwa kesho tar 30.1.2025

    Karibuni wananchi wote!
  4. JamiiForums Tanzania Kesho vurugumechi zinarejea mjini

    Mliokimbizwa kea nguvu na mliokimbia kwa hiari karibuni tena.. Najua mlipamisi sana hasa pale kati.. Leo mitaa ilikuwa tupu na barabara hasa za kuelekea na kutoka Airport ilikuwa raha tupu Hakuna watu Hakuna bodaboda Hakuna gari za mizigo Na kama vilikuwepo ilikuwa kwa uchache mno Wendawazimu...
  5. JamiiForums Tanzania Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

    𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱 Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025. Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kesho mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati huku Arusha-Arumeru tumekesha na Giza: Tatizo ni Nini?

    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme tuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee Diaspora (undocumented) wanapakiwa kwenye madege ya kesho kurejeshwa kwao

    1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao. 2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
  8. JamiiForums Tanzania Hamas: Ndani ya mfumo wa kubadilishana wafungwa, Brigedi za Al-Qassam ziliamua kuwaachilia huru wanajeshi wa kike 4 kesho Jumamosi, 01-25-2025

    Wanaukumbi. Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025: 1-Soldier Karina Arif 2-Soldier Danielle Gilboa 3-Soldier Ne'ma Levy 4- Private Leri Elbag Hebrew Media: The list of names...
  9. JamiiForums Tanzania NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  10. JamiiForums Tanzania Naiwaza kesho ya John Mrema, Yericko Nyerere na Kigaila

    Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi. Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
  11. JamiiForums Tanzania “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  12. JamiiForums Tanzania Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tito Magoti: Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CHADEMA

    Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM. Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu. Hakutaka uamuzi huo uhojiwe. Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi. FAM is clearly terrorising party electoral process.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

    Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi. La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho. Taarifa yao hii hapa Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi...
  15. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Januari 21, 2025 nchi itazizima ni kishindo kufuatia Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA Kesho NYATI anafunguliwa zizini nyati anakwenda KUTUONGOZA kuchanja MSITU Hotuba ya KUSISIMUWA itapasuwa Mioyo...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

    Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  18. JamiiForums Tanzania Rasmi Likud kujiunga na Chuo kesho

    Sifa ya Chuo: Chuo cha Kati. Idadi ya wanafunzi Chuo kizima: Approximately 7000. Kozi ninayo chukua? " " Duration : 3.months. Idadi ya wanafunzi: Kozi nzima : 300 plus. Darasa langu : wanafunzi Sabini na nane. Kati ya wanafunzi Sabini na nane: 1. Ke.... 49 2. Me...29. Age zao ( ke )...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyefikiria kupeleka mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga alifikiria mbali sana

    Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana. Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wakitoka hapa wanakubaliana na si mmoja wao kesho kusema sihusiki kama Lisu anavyosema kuhusu maridhiano

    Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…