kero

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud: Hakuna hata kero moja ya Muungano ya maana iliyotatuliwa

    Heri ya Mwaka Mpya wanajukwaa! Tuje hapa. Kumbe zile kelele nyingi za kudai kwamba kero za Muungano zimeanza kutatuliwa kwa kasi kumbe ilikuwa danganya toto. Mbona hii sasa ni tabu tupu! ========================= “Kwa upande wa kero za Muungano, hakuna hata kero moja ya maana iliyotatuliwa...
  2. JamiiForums Tanzania KERO TAMESA angalieni wakazi wa Kigamboni kwa huruma. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour?

    Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma, Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour? Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko hakijatoka hii ni haki kweli? Mpaka watu wanalala wanasinzia wanaliwa na mbu na wadudu wa Bahari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kero hizi hazijawahi kuisha , sasa ni sehemu ya maisha yetu

    Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo. 1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna sehemu hutopita nayo kisa barabarani mbovu. 2.shida ya maji ipo tu hii , tafta pesa chimba kisima...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka hazioni kero zinazotokana na kukosekana kwa Stendi eneo la Kawe Mwisho (Dar es Salaam)?

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini katika hali ambayo inaleta mtanzuko sehemu hiyo ni muda sasa imeendelea kukosa stendi yenye hadhi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe: Nimekuja Kutatua Kero na Kutimiza Ahadi

    Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti. "Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Uongozi wa hospitali ya Bugando ujitathimini kwenye kitengo cha Dailysis

    Kama mada inavyonieleza Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha damu Suala la kuwatoa wagonjwa kwenye mfumo baada ya kumaliza matibabu nalo ni kero wahudumu...
  7. JamiiForums Tanzania TTCL kero hii itaisha lini?

    TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu. Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi. Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...
  8. JamiiForums Tanzania TTCL kero hii itaisha lini?

    TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu. Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi. Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...
  9. F

    JamiiForums Tanzania KERO VETA DSM wanawachagulia vijana course wasizotaka

    Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme wa magari anajikuta amechaguliwa course ya plumbing na wakijaribu kuomba ufafanuzi wanajikuta...
  10. JamiiForums Tanzania KERO RITA Lindi Mjini wamekosea majina yangu sahihi wakati wa marekebisho mara mbili mfululizo, inanigharimu zaidi

    Katika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI lakini ajabu majina yalikosewa. MARA YA PILI vivyo hivyo nililipia na kuacha MAJINA SAHIHI pia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Yas na meseji za kero

    Kila muda meseji za ovyo ovyo, Mara Yas majift,mara upuuzi wa marathon,mara sijui ujinga gani, ujinga ujinga tu muda wote!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Namuomba Bashungwa asome hapa kuhusu kero za vitambulisho vya NIDA!!

    Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA. Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa kawaida kabisa. Kuna changamoto nyingi sana kwenye michakato ya vitambulisho vya NIDA 1. Ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

    Ulimhola! Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones. Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa. Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama...
  15. JamiiForums Tanzania KERO: TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR

    TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR. Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni. Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma wamechagua kuweka pamba masikioni. Jamani viongozi mnaohusika amkeni kufanya jambo kukomesha shida hii ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  18. K

    JamiiForums Tanzania KERO NMB huduma zenu Tawi la Bariadi Simiyu ni kero, zinaudhi. zinatwibia wateja.

    NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini. Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki. Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayopaki eneo la urafiki ni kero kwa watumiaji wa Barbara ya morogoro

    Wakuu salaam Kumekua na tabia ya madereva wa malori kuegesha magari yao sio pembezoni bali katikati ya hii barabara muhimu kuanzia eneo la urafiki hadi ubungo darajani. hali hii imekua kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara hii, kwani husababisha foleni kubwa hasa wakati wa jioni kwani...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya: Kuna usumbufu mkubwa Barabara ya Ilomba - Isyesye - Relini baada ya Mkandarasi kutelekeza mradi

    Ujenzi wa Kalavati umetelekezwa, Mkandarasi alianzaje kukata barabara wakati hayuko tayari kujenga? Mamlaka husika TARURA iko wapi? Wananchi tunateseka sana tunaoipita barabara hii kuelekea nyumbani hasa msimu huu wa mvua. Kalavati hilo lipo jirani kabisa na Kituo cha Radio Ushindi FM. Mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…