Goba bana kero ya maji kwenye hii mitaa yetu ni kero kubwa sana jamani, maji tunapata mara moja kwa mwezi na sio ya uhakika, tumeshalalamika mno, kiangazi ndo inakua balaa kabisa wakati huu wa mvua tukahisi kutakua na unafuu lakini wapi...
Tumeshalalamika mpaka kwa enzi za Naibu Waziri Mkuu...
Wakuu, salama?
Kuna hali inashangaza sana.
Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka kuelekea mwishoni mwa mwaka jana around hiyo November kuna hali ya upungufu wa maji ilitokea maeneo...
Wakuu,
Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba
Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room
Lakini vilevile...
Habari wakuu,
Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, na maeneo mengine yote ya Goba maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.