kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwa story za kuchangamsha genge tunaikaribia Kenya lakini kiuhalisia tumepigwa kanzu, Tulichowazidi labda ni muziki na mpira

    Balance of trade - Thamani ya pesa ya bidhaa zinazonunuliwa kutoka Kenya ni kubwa kuliko bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Kwa upeo mdogo wa kielimu watanzania wengi tumekomalia kwenye kuwauzia Mahindi lakini ukichunguza vizuri hapa kwetu kuna bidhaa nyingi sana za Kenya kuanzia kiwi...
  2. JamiiForums Tanzania Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

    Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa. Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo. Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe. Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi...
  3. JamiiForums Tanzania Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hitilafu kubwa ya umeme yaikumba Kenya, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi

    Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo ya Magharibi na eneo la Bonde la ufa kuanzia majira ya saa sita na robo usiku. Kupitia taarifa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya, nayo kujenga BRT kama Tanzania wenye thamani ya Ksh 43.4 bilioni

    Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya. Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme. ================= Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wawili wakamatwa kwa wizi wa ng'ombe Kenya

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna wanashikiliwa kutokana na kukutwa katika tukio hilo. Taarifa ya Polisi imeeleza Josephine Kandie aliripoti...
  7. JamiiForums Tanzania Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  8. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uongozi wa Vyama vya Siasa vya Kenya ni mzuri sana, I wish tungeuiga.ACT waliiga ila Zitto alikosea setting.

    Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
  9. JamiiForums Tanzania Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

    Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi. Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida Miundo mbinu mibovu, Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wabunge wa Tanzania yachapwa Vikapu 67 kwa 38 na Wabunge wa Kenya

    Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
  11. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa YouTube Kenya

    Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024. Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
  12. JamiiForums Tanzania CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

    Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina hadhi ya kuandaa michuano ya CHAN 2025 nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda Poleni wakenya
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa TSh. Miloni 374 kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika, amchana Willy Paul "ananitengenezea ubaya"

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki. Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto athibitisha kuwa Kenya imelipa Kshs Milioni 500 kwa waandaaji wa Grammys ili tuzo zifanyike nchini humo

    Wakuu, Hivi karibuni Rais William Ruto amedokeza kuwa kuwa serikali ya Kenya tayari imelipa Tshs Milioni 500 Kenya iweze kuwa mwenyeji wa tuzo za Grammys mwaka 2027. Akizungumza wakati wa mkutano wa Townhall Jumatatu usiku, Ruto alisema kuwa hili linaweza kuthibitishwa na wawakilishi wa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yashusha Makadirio ya Uchumi wa Kenya kutoka 5.0% hadi 4.7%

    Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi ya Serikali na Juhudi hasi za Uimarishaji wa Uchumi vikitajwa kuathiri ukuaji huo. Pia, ripoti...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

    Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu. Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa.
  18. JamiiForums Tanzania Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

    Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo. ============================================== Diamond Platinumz yesterday he refused to...
  19. JamiiForums Tanzania Diamond aondoka bila kuperform Kenya

    Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪, Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa Tamasha hilo. Fungua video kupata mkasa mzima Wasanii wetu ni budi wakajihafhari sana...
  20. JamiiForums Tanzania Nini kimeifanya Rwanda ipunguze kupitishia mizigo Tanzania na kugeukia Kenya?

    Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo. Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…