Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Hata Idd Amin alitaka haki kwa kuwafanya wajinga waislamu.
Huyu anakwambia wanaharakati wanamakosa ila hapo hapo ndio mtu wa kwanza kulalamika palestina na waislamu wanaonewa.
Alitaka wanaharakati majini au
“Wametembea, wamejaribu kwenda kuleta mchezo wanaoleta hapa katika manchi jirani, nini kimetokea?, tukiambia Waty that Kenya is so democratic they don’t believe it”
“Watu wanatoka katika Taifa zingine wanakuja kufanya maandamano hapa, haya wamejaribu, hawakutoka kwa Airport, wameambiwa rudi...
Rais Samia apongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya kwa kuwashughulikia wakenya wasio na nidhamu.
Hakika Samia kaonyesha hacheki na wowote, kapongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya.
Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani.
Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu.
Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya
Madhaifu ya serikali ya CCM...
Ukibisha sawa ukiafiki chukua hatua , ukivimba utavimbishwa na utapasuka Mungu hachezewi.
Kupanga ni kuchagua aidha mipasho, jeuri, kibri na dharau wajiandae kwa mashimo ya futiz za kutoshea.
Tuishi kwa namna ya udogo na ukubwa wenye kunyenyekea .
Ni hayo tu
Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira.
Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika.
Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
Ni kwa nia njema ya kuwajulisha wasiomjua Martha Karua hasa upande wake wa uovu. Mwaka 2007 hadi mwanzoni mwa 2008 kulitokea machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1500, ubakaji wa zaidi ya wanawake 3000 huku watu zaidi ya 300,000 wakipoteza makazi yao. Ulikuwa ni...
Seneta mmoja nchini Kenya ameeleza kuunga mkono hatua ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwapiga marufuku wanaharakati kutoka Kenya.
Samson Cherargei, seneta wa kaunti ya Nandi, anasema ni haki ya Rais Samia kuzuia watu wanaoingilia masuala ya nchi yake kutoka nje.
"Namuunga mkono...
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.
Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.
Anyway tumevuliwa...
Now, 2025!
Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the country's internal affairs asserting "Tanzania won't tolerate foreign interference.
She pointed to a...
Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head.
Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea.
Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
Wakuu
Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku Msukuma amvaa Martha Karua kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania huku akisema "ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi, hauwezi kutoka Kenya kuja kuchochea wenzio"
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam.
Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili...
Mimi kama stroke.
Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya.
Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya.
Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania.
Sasa nawaambia hivi??
Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3
Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza..
Kwa ufupi sana Martha Karua anasema:
• Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu...
• Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...