kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Video : Sheikh Izzu ddiyn toka Kenya amjia juu Matha Karua na wenzake

    ♦️Adai watetezi wa haki za binadamu hawajawahi tetea japo haki moja wakafanikiwa. ♦️Amtaka Karua na wenzie kutetea haki za waKenya kwanza. ♦️Pia akumbushia Karua alivyoshiriki kuwadhulimu waKenya wakati wa rais Mwai Kibaki.
  2. JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kimataifa, Gen Z Kenya, Elon Musk na Diaspora saidieni kupaza sauti ukandamizaji mkubwa unaoendelea Tanzania

    Hii ni kwa wale wenye mapenzi mema ma wazalendo wa nchi yao, Wote tunashuhudia ukandamizaji mkubwa wa demokrasia, utekaji na mauaji makubwa yakifanyika mchana kweupe. Wote tunashuhudia ni kwa jinsi gani CCM imedhamiria kutumia mabavu kwa namna yoyote kuhakikisha inasalia kwenye dola, Nani...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Nini UVCCM hawawajibu Vijana wa Kenya?

    Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Just Schooled Us—Time to Wake Up Tanzania

    Yo, for real—I ain't feelin’ what went down with those Kenyan activists. That move? Straight up foul. See, Kenya don’t play like that. That’s a country where folks speak their truth, stand ten toes down for their rights, and ain’t afraid of no damn authority. And honestly? It fires me up in the...
  6. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  8. JamiiForums Tanzania Kenya ndilo Taifa jirani lilo na undugu mkubwa zaidi wa damu na Tanzania kuliko taifa lingine lolote.

    Kwa Tanzania mataifa jirani yanayotunguza taifa ambalo kwa undugu wa damu wa makabila tunao share kwa wingi zaidi na Kenya hivyo kulifanya kuwa taifa ndugu yetu zaidi kuliko wengine, hata kama hatupendani kuliko hao wengine. Makabila yanayopatikana Kenya na Tanzania ni mengi zaidi kuliko ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    Hamjambo Wote! Baadhi ya watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao wakiwasifu vijana Wakenya kwa kile wanachokiita Kujielewa na Kujitambua. Huku wakiwatupia lawama vijana wa kitanzania kuwa ni vijana Maamuma, waoga, wasiojielewa, wapowapo tuu. Lakini Tathmini yangu ipo Kinyume kabisa na maoni yao...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa. Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani. Taasisi hiyo ni Open Society Foundation. Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa. Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
  16. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Suala la Wanaharakati na Manasheria wa Kenya, Je, Tumekosa Wenye Hekima?

    Sote tunajua hali ambayo nchi yetu inapitia: 1. Udhulumaji mkubwa wa haki za binadamu kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. 2. Uonevu wa ajabu kwa wananchi, kama vile tulivyoshuhudia watu wakipigwa na kuvunjwa mikono na miguu, tena na watu waliotakiwa kuwalinda. Bahati mbaya sana, mambo...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya: Serikali ya Tanzania inatuzuia kuwasiliana na Boniface Mwangi kama sheria za kimataifa zinavyoelekeza

    Wakuu, Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa ============================= Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
  19. JamiiForums Tanzania Uganda kutomfukuza mwanaharakati wa Kenya alipokwenda kusikiliza kesi ya Besigye huku wakimsifu Samia kwa kumfukuza

    Kuna mambo yanafurahisha sana . Yaani watu wanakusifia wewe kwa kufanya kitendo flani kibaya . Kitendo hicho kibaya aliyekusifia yeye mwenyewe hakifanyi. Hii kwa wenye akili inaonyesha huyo mtu anakudharau anakuona wewe lofa flani anakupoteza manake huko ni kutoa sifa za uongo. Kuna watu...
  20. JamiiForums Tanzania Is Kenya a weakest link to undermine EAC autonomy?

    All EAC Protocols and ministers need to immidiate meet and discuss how easy is the EU or US is able to subbotage EAC cohesion through Kenya. My observation is that ...there are so many activities and organisations working from there which are undermining the true and ultmate EAC intergration
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…