kenani kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kenani Kihongosi: CCM haina watu wezi, hizo ni tabia za mtu binafsi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya watumishi wazembe wanaosababisha migogoro kwa wananchi. Amesisitiza kuwa lengo la utumishi wa umma ni kutoa huduma bora kwa wananchi, si kujinufaisha...
  2. Waufukweni

    Kenani Kihongosi: Hakuna mbadala wa Amani, lazima ilindwe

    Kenani Kihongosi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, amesema kuwa mara nyingi amani inapopotea, watu wanaopata tabu ni watu wenye mahitaji maalumu, wazee, watoto, akina mama na watu wasio jiweza. Kihongosi amesema hayo wakati akifunga...
  3. Waufukweni

    Kihongosi: CHADEMA inakufa, Mbowe katoka wanagombana Mahakamani

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema ushindi wa chama hicho katika chaguzi unatokana na kuwa na mfumo imara na mtandao mpana wa wanachama kuanzia ngazi ya shina hadi taifa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani...
  4. Chachu Ombara

    Kenani Kihongosi: Tusikubali kupiga nyumbani tulikozaliwa, watakaoathirika ni watoto, wazee na kina mama

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema hayo akiwa wilaya ya Mkalama mkoani Singida.
  5. DuaZaMama

    Kenani Kihongosi: Hatutahangaika kujibu Propaganda wala kutukana

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania, @kenanikihongosi amesema CCM haitapoteza muda kujibu propaganda zinazoenezwa na watu wasiolitakia mema Taifa, badala yake itaendelea kuzingatia wajibu wake wa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama ili kuhakikisha...
  6. DuaZaMama

    Kenani Kihongosi: Tunahitaji upinzani uliokomaa sio wa kushangilia vifo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kushangilia misiba na kuhamasisha chuki. Akizungumza kwenye Kikao cha Shina Namba Moja, Singida Mjini leo...
  7. Waufukweni

    PostGE2025 Kihongosi: Hotuba ya Rais akifungua Bunge ni ya msamaha na huruma

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amesema hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 ni hotuba ya kujenga umoja wa kitaifa, msamaha na mwelekeo mpya wa maendeleo...
  8. Waufukweni

    GE2025 Kihongosi: Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki. Niongelee watu kufa kwenye nini?

    Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa CCM akiwa LIVE instagram, "Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki, lazima tulinde amani yetu. Niongelee watu kufa kwenye nini..?! wewe mbona hujafa..? maana yake ulitulia nyumbani kwako"
  9. R

    GE2025 Kihongosi: CCM imebeba matumaini ya Tanzania

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna ambavyo Chama cha Mapinduzi (CCM) inaaminika na wananchi kwa kusikiliza na kutekeleza shida na...
  10. DuaZaMama

    GE2025 Kihongosi: Tuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama, kama kuna matishio tuwasilishe kwenye vyombo husika

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
  11. Waufukweni

    GE2025 Kenani Kihongosi: Vijana tulinde Amani na Utulivu, tusishawishiwe kuingia kwenye Vurugu na Fujo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye Vurugu na Fujo akidai kuwa Amani yetu ndiyo Maendeleo yetu.
  12. Common Folk

    GE2025 Kenani Kihongosi: Kusafirisha watu ni hoja dhaifu hatuna muda kuijibu

    Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni. Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!
  13. Waufukweni

    GE2025 Kihongosi: Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu wa kujua matumaini na matarajio ya maendeleo tuliyofikia leo yametokana na Chama hiki, kwasababu...
  14. J

    Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia. Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Mabadiriko haya ni ya Kimkakati zaidi kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Kenani Kihongosi ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo akichukua nafasi ya Amos Makalla

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho kuanzia Agosti 23, 2025. Uteuzi huo umetangazwa baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jijini Dodoma, chini ya uongozi wa...
  16. S

    GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
  17. K

    Sisi ndio nchi pekee yenye amani EAC " - Kenani Kihongosi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wamiliki na wafanyakazi wa saluni jijini Arusha kufanya kazi kwa bidii, kutunza kipato chao, na kuendelea kuishi kwa mshikamano na amani, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na wamiliki na wafanyakazi hao...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 RC Simiyu amwita Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bariadi kusoma bibilia, maandiko ya Utiifu wa Mamlaka

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi alimwita mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Bariadi, Moga kusoma Maandiko yanayoelezea Utiifu wa Mamlaka katika Nchi Hayo yamefanyika Katika Kikao cha Kamati za Amani Viongozi wa Dini, Viongozi wa vyama vya Siasa,Viongozi wa Mila pamoja na Wananchi. Mkuu...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 RC Kihongosi: Hatuitaji vurugu Simiyu, wazazi waambieni vijana wenu

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Laban Kihongosi amewataka Wazazi Mkoani humo kuwaepusha na kuwakanya Vijana wao kujiepusha na wanasiasa wanaotaka kuwatumia kuvuruga na kuharibu amani ya Tanzania hususani ya Mkoani Simiyu, akisisitiza umuhimu wa amani kwa maendeleo ya Mkoa wa Simiyu. Kihongosi...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 RC Simiyu afanya matembezi ya kumuombea Rais Samia na Taifa. Chawa kazini kujihakikishia nafasi!

    Wakuu, Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele. Ni mwendo wa kujiweka karibu na Rais na kusikika kadri iwezekanavyo ili usisahaulike kwenye ufalme wa bwana, teh teh ufalme wa mama😂😂...
Back
Top Bottom