kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi mkoani Dodoma

    Kwa majina naitwa Edgar nimehitimu mwaka huu diploma in procurement, naelewa elimu yangu ndogo na huku ground kugumu kwahyo nahitaji kazi yoyote niko tayari kufanya nipate pesa nikaendelee na kusoma bach.. Napatikana humu 0610816834
  2. JamiiForums Tanzania Hata kama ni kazi maalumu, hawa Wagombea wanaaibisha mahala patakatifu kama alivyosema Hayati Julius Nyerere

    Ikulu ni mahala patakatifu alisema hayati Julius. Panahitaji kukaliwa na mtu mwenye sifa zinanazofaa. Eti Kunje Ngombale Mwilu!. Luhaga Mpina na Salumu Mwalimu Hata kama ni kazi maalumu. Sio kihivyo.
  3. JamiiForums Tanzania Mbinu 5 Za Kisaikolojia Zilizokatazwa – Lakini Zinafanya Kazi Kama Uchawi

    1. Mbinu ya “Chaguo la Uongo” (False Choice Trick) Mfano: “Ungependa tukutane saa 9 au saa 11?” Kwa nje inaonekana ni wewe unachagua, lakini kisaikolojia chaguo zote mbili zinampeleka mpangaji kwenye anachotaka. Saikolojia Inavyofanya Kazi: Hii inaitwa Illusion of Control. Wakati ubongo wako...
  4. JamiiForums Tanzania AsanteStars kwa kazi nzuri; Ila mashabiki tunazingua kiukweli watu wamekaa mavitambi hata kushangilia hakuna shame upon us

    Habari zenyu bhana najua hazina majotooo ! Kiukweli vijana wanapambana though kuna makosa mengi especially kwenye eneo la striking mostly huwa hamna utulivu mzuri wa kujenga mashambulizi pia middles zinapaswa kuwa na utulivu na kusogea mbele kwa speed. All in All vijana wanaubonda Hongera sana...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sie wakulima mtusaidie kuelewa, hivi bunge likivunjwa mawaziri wanaendelea na uwaziri? Nimemwona Bashe 88 anapiga kazi.

    Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe. diwani wetu kazi zake zote zinafanywa na mtendaji wetu wa kata. Au wizara ya Bashe haina katibu mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Fao la kuacha kazi NSSF naomba ufafanuzi

    Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje? Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe umeacha kazi badala yake uwe umeachishwa ndipo uombe, naona hiki ni kama kigezo cha kushetani sana. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hapa kazi tu

    https://m.youtube.com/watch?v=c0npQqY3mbs&pp=ygUabWFndWZ1bGkgc3BlZWNoIGluIHN3YWhpbGk%3D R.I.P Magufuli Kazi ya mungu aina makosa.
  9. JamiiForums Tanzania Kitengo cha Propaganda CCM hakifanyi kazi yake kwa ufasaha

    Chama kinashambuliwa nyie mmetulia tu na posho mnakula. 1. Andaeni matukio ya kuhamisha attention kwa kila tukio la kuchafua Chama. Hususani siku ambayo polepole anafanya mikutano yake uchwara. 2. Tumieni Wasanii kusifia hususani kuandaa matamasha ya bure. 3. Andaeni kampeni kwenye social...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Laptop Gani Inafaa Kwa Kazi Yako? Usinunue Kabla Hujasoma Haya Mambo 7 Muhimu!

    Laptop Gani Inafaa Kwa Kazi Yako? Usinunue Kabla Hujasoma Haya Mambo 7 Muhimu! Kama unavyonunua mashine kwa mgodi au mtambo kwa kiwanda, laptop pia ni zana ya uzalishaji. Si mapambo. Lakini watu wengi hununua kwa pupa—wanaangalia muonekano au bei ya chini—halafu baada ya wiki mbili wanaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  12. T

    JamiiForums Tanzania GPMSC Technology company inatangaza nafasi za kazi

    GPMSC Technology company inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo: 1. HR nafasi 4. 2. Accountant nafasi 4. 3. IT nafasi 4. 4. Wanasheria nafasi 4. 5. Personal Secretary nafasi 4 6 Elimu Diploma na kuendelea. Isipokuwa kwa Personal Secretary yeye ni cheti na kuendelea. Wote wawe...
  13. JamiiForums Tanzania Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Wanzanzibari wacheche wasomi wasio na kazi. Serikali inawapendelea!

    Ukienda kwenye balozi nyingi wamejaa wanzanziibari. Kwa kusingizia dini wamejazwa kwenye nchi zote za Gulf. Wapo balozi zote za Ulaya na Marekani. Wabara wamajaa balozi za Africa na nchi masikini. Hapa siongelei mabalozi bali wafanyakazi wa balozi. Kuna wakurugenzi, wakuu wa wilaya , mikoa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa (mtu kazi) wajumbe wamuamini kwa kura 8,465 (99.19)

    MCHENGERWA (MTU KAZI) WAJUMBE WAMUAMINI KWA KURA 8,465 (99.19) Mgombea wa Jimbo la Rufiji anayetetea jimbo lake, Ndugu Mohamed Mchengerwa ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kwa kuzoa asilimia 99.19 ya kura zote zilizopigwa. Matokeo hayo mazuri kwa Mchengerwa yametokana na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya kidato cha sita, naomba kazi

    Habari zenu wakuu,.Mimi ni kijana wa makamo kidogo,born January 1995. Nina elimu ya kidato cha sita, chuo nilifika lakini sikumaliza niliishia mwaka wa pili (udom coed). Mkuu kwa mda sana nimehangaika huku na kule lakini mambo bado magumu hadi sasa nikaamua kujishughulisha na kazi za uvuvi.kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  18. JamiiForums Tanzania Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  19. JamiiForums Tanzania Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.

    Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi za Lukuvi Jimboni zambeba Wananchi wa Ismani, wasema "Wanatiki Kwa William Lukuvi ”

    Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine waliopitishwa katika mchakato wa kura za maoni, bado chaguo lao linaelekea kwa Lukuvi kutokana na kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…