kazi ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
  2. K

    Kazi ngumu wape SUMA JKT

    Rais wetu Dkt. Suluhu Hasan tunazidi kukupongeza kwa maono yako, makusudi nadhamira ambayo umeonesha kwa kipindi hiki kifupi cha utawala wako kwa kufanya jambo lililo shindikana tangu nchi ipate uhuru. Mwangaza wa kutupatia umeme Wilaya ya Kishapu kuipitia REA/Tanesco umeonekana. Suma JKT...
  3. D

    Kuikosoa Serikali ukiwa madarakani ni kazi ngumu mno

    Kufupisha Uzi nitatoa mfano! Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea! Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
  4. Kubadilisha mitaala yetu ya elimu vyuo vikuu ni kazi ngumu sana isiyowezekana

    Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
  5. Kusafiri kwa lengo la kuimarisha uchumi wa Tanzania ni moja ya Kazi ngumu anayofanya Rais Samia

    Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
  6. Hayati Dkt. Magufuli alijua makinikia ulikuwa 'mziki mnene' kwake

    Nimewawekea clip juu ya hilo sakata jinsi lilivyokwisha kimya kimya. Lakini bado wapo watu wanaamini kuwa aliweza kuwabana mabeberu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…