kauli ya rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Kagame arejea kauli ya Rais Samia kuwaambia Mabeberu 'Who are you', awataka wakome kujifanya waangalizi wa Haki za binadamu wa Africa

    My Take Naunga mkono Kauli ya Marais wetu kuhusu hao Mabeberu ambao wameweka mapandikizi Yao huku Africa Kwa jina la Wapinzani na Wanaharakati. Hao Beberu wanaua raia wasio na hatia kwenye Nchi zingine wanazoanzisha vita bila kujali Haki za binadamu.Kwani hao hawastahili Haki? Haki za binadamu...
  2. JamiiForums Tanzania Jaji David Maraga asikitishwa na kauli ya Rais Samia

    Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William Ruto jijini Dar es Salaam. Endelea.... "Kama Jaji Mkuu, nilithamini udugu uliopo ndani ya Jumuiya...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta; Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3 UFAFANUZI Leo...
  4. JamiiForums Tanzania Tujadili kwa mapana kauli ya Rais Samia ''Jeshi lisitumike na wanasiasa''

    Naomba tujadili kwa mapana na marefu kauli hii ya Rais Samia inaashiria nini? Najua humu kuna wachambuzi na ma-time traveller wengi wanaweza kutuonesha muelekeo Akiwa Tanga alisema jeshi lisitumike na wanasiasa. Swali, mwanasiasa gani anataka kulitumia, na analitumiaje? Kwanini sasa hivi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine mnaoshiriki Uchaguzi, mmesikia kauli ya Rais Samia?

    Wakuu Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia? Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono kauli ya Rais Samia kwamba sasa hivi Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya hazifanyi vizuri kiuchumi kama Tanzania

    Naunga mkono kauli hii kwa kutumia hoja zofuatazo 1. Ukuaji wa pato la taifa (GDP Growth), ukuaji wa pato la taifa la Tanzania linatarajia kukua mpaka kufika 6% kwa mwaka 2025,ukilinganisha na 5.4% kwa mwaka 2024, ukanda wa Euro pato la taifa linakuwa kwa 1.3% na marekani ni 1.1% hii inaonyesha...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia yawaliza watoto wa Jenerali Kiwelu

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiitaka Mahakama kutenda haki kwa usawa na wakati, watoto wa aliyekuwa Jenerali Tumainieli Kiwelu wanaomba shauri lao la kuondolewa kwa wasimamizi wa mirathi ya baba yao lililofunguliwa May,2024 limalizike. Rais Samia akiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya Sheria...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli ya Olutu inakinzana na kauli ya Rais Samia

    Gharama ya kuungiwa umeme kwa wakazi wa vijijini ni shilingi elfu 27 tu (27,000). Lakini kwa wakazi wanaoishi mjini gharama yake ni Laki tatu na arobaini na moja elfu (341,000)- Mh. Jones Olutu, Mkurugenzi wa Umeme Vijijini. Samia alikwisha kutuambia kuwa hakuna umeme wa alfu 27 hapa Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaashiria kuwa CHADEMA hawako salama ndani ya chama hicho wapo vijana wake wa "Kitengo"

    Akihutubia kwenye maazimisho ya miaka 20 ya jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Septamba 17, 2024 rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa uovu wote uliopangwa kwenye mkutano wa chama kimoja cha upinzani (CHADEMA) anazo taarifa zote Rais amesema kuwa interenjesia ya vijana wake ina uwezo mkubwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  12. JamiiForums Tanzania Na hilo mkaliangalie ni mtego; utaondoka na wengi

    Nakumbuka baada tu ya kuapishwa Rais Samia Hassan. Nilikua najadiliana na rafiki yangu kuhusiana na mwenendo mzima wa Samia. Tulijadili mambo mengi ikiwemo pia kauli yake ya na hilo mkalitazame. Kauli hiyo ilimaanisha kuwa aliwapa uhuru wa kufanya kazi , Ila alitegemea mrejesho mzuri...
  13. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wa madini mererani wachachamaa wapinga soko la madini kuamishwa kwenda Arusha tunasimama na kauli ya Rais Samia

    SAKATA la kutaka soko la Madini ya Tanzanite kufanyika sehemu zote nchini sasa limeingia katika sura mpya baada ya wachimbaji wa madini hayo kusema kuwa wanaongoza agenda hiyo hawana nia njema na Serikali na wachimbaji kwani wametanguliza maslahi yao binafsi. Wachimbaji hao walisema na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…