Baada ya bilionea mstaarabu wa Katoro Kahama Sylvester Buyamba na wenzake kuvunja Internet kwenye send off ya kufukuru na kutetemesha mitandao ya kijamii Africa mashariki, kati, kusini hadi magharibi huko, nakuwashikisha adabu mabilionea uchwara wa Dar nao eti wamewajibu kwa style ya ajabu na...