Mwezi Novemba mwaka jana Mkutano Mkuu wa Maaskofu wa kikatoliki Marekani ulitoa tamko kulani sera za serikali ya Trump za kuwatimua na kuwapakazia wahamiaji waliokuwepo Marekani. Hii ilikuwa muendelezo wa hotuba ya Pope Leo XIV ya mwezi Januari mwaka jana kwa mabalozi waliokuwa wakiwakilisha...