Gharama ya vita ni kubwa sana.“Matumizi ya vita yamefikia dola trilioni 2.2 katika vita mbalimbali ulimwenguni pote. Kiwango hicho hakijawahi kufikiwa wakati mwingine wowote.”—The Washington Post, Februari 13, 2024.
Hata hivyo, gharama zinachangiwa na mengi zaidi ya pesa. Fikiria mfano mmoja...