katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachambuzi Clouds Radio na E-FM wasema hakuna haja ya kumrejesha Manara, Kamwe anaendana na Gen- Z, sura yake ilifanya watoto katika idara waogope

    Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili...
  2. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  4. JamiiForums Tanzania Katika mapenzi umewahi kupewa dedication/dedications??

    Umewahi kupendwaa nakupewa dedication yeyote??? https://youtu.be/MY4YJxn-9Og?si=lEUT2jyHrGZ01G7s https://youtu.be/PKOaA9A-Y3A?si=4WASSbFOtZWYOt6n https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=ECxRR6BgD64hThwo https://youtu.be/CaQKtZQCLBY?si=QNb1_9jMHR7gu-6l Niliwahi pewa hizi dedications nakuambiwa I LOVE U
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

    Salam. Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi! Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni...
  6. JamiiForums Tanzania Ingekuwaje laiti tungeishi katika ulimwengu ambao hatuogopi kujajiwa au kuhumiwa

    Ebu fikiria unaishi maisha ambayo hakuna anayekujaji kwa matendo yako,wala huofii watu watasemaje kuhusu mambo yako,bilashaka ungekuwa ulimwengu mmoja amazing sana. Lakini bahati mbaya sana tunaishi kwa kujajiana sana kwa kila matendo tunayofanya,mfano ukiwa mtoa ushauri mzuri utaambiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa watatu ndio wanaochekesha na kuabisha zaidi watu wa imani yao katika vita vya Gaza.

    Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo Kwanza ni Saudi Arabia ambayo mwanzoni mwa vita iliitisha mkutano mkubwa sana wa mataifa ya kiarabu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ndoa katika jamii ya kisasa

    Katika jamii ya kisasa, dhana ya ndoa imebadilika kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na zamani. Watu wengi sasa wanajiuliza kama ndoa bado ina umuhimu kama ilivyokuwa hapo awali. Katika makala hii, tutachunguza mabadiliko haya na umuhimu wa ndoa katika maisha ya watu wa sasa. 1. Ndoa Haina...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
  12. JamiiForums Tanzania Magereza ya Tanzania kuwa katika hali mbaya, ni kwa sababu ya umasikini au kukosa utu?

    Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
  13. JamiiForums Tanzania Angalia picha zinaongea zenyewe kuhusu wale vijana waliotimuliwa katika wizara zao

    Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa? Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie.. Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama katika uchaguzi mkuu, hivyo kama katibu mwenezi mstaafu, ninaomba...
  14. JamiiForums Tanzania Simba sc katika harakati za kumtafuta kibu d #ubaya_ubwela

  15. JamiiForums Tanzania Mjue Beaver, Injinia mbobevu katika nyanja ya ecosystem (ikolojia)

    BEAVERS ni jamii ya panya na niya pili kwa ukubwa kati ya jamii za panya wote waishio kwa sasa. Wanapatikana sana Katika ukanda wa kaskazini kama Amerika ya kaskazini na ulaya ya magharibi. Kimaumbile wana urefu wa kuanzia mita 0.3 hadi 0.5 (kuanzia kichwa hadi mkia), na kiupanna sentimita...
  16. JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  17. JamiiForums Tanzania Je tuendelee kuamini katika kudanganywa ?

    Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ? Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ? Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ? Je...
  18. JamiiForums Tanzania Gen Z ya Tanzania imefeli hapa tu!

    Nimeona watanzania. Wengi wakilaumu kwamba kwanini sisi sio kama wakenya wenye ujadiri wakupinga waziwazi serikali yako barabarani? Na wengine wameenda mbele wanasema kwanini sisi mazuzu kias hiki na hatuwezi kuandamana. Wala kulaumu chochote kama. Ilivyo kwa wakenya? Ngoja nikutoe wasi wasi...
  19. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Visa vya kweli: Siri za kujamiiana katika koo

    Koo zina siri nyingi sana, kuna siri ambazo hazitolewi kabisa nje ya koo husika, pia humo ndani ya koo kuna siri ya wahusika tu. Nikimaanisha kua kuna siri ambazo zinafanywa na watu wa wawili au watatu wa kwenye koo hiyohiyo na wengine wasijuwe. Pia kuna koo ambazo zina siri ya ukoo mzima na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…