katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tukio la Kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA, Bi. Sigrada Mligo na Kudhoofika kwa Uongozi wa CHADEMA

    Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel Ilivale, ni tukio linalosikitisha na linastahili kulaaniwa kwa nguvu zote. Tukio hili linavunja kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godfrey Sitta: Katibu wa CCM Meatu amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa, amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku kukigawa Chama

    Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu UVCCM Dar Athuman Egobano aongoza maandamano ya kuhamasisha vijana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura

    Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam ndugu Hussein Athuman Egobano Amepokelewa kwa shangwe na Hamasa Kubwa ndani ya Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu katibu UVCCM Taifa, Mwatikinya: Ushindi kwa CCM sio ombi ni lazima. Hakuna Chama kinaweza tatua shida za Wananchi zaidi ya CCM

    Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio ombi. Akizungumza leo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro katika uzinduzi wa kambi la Vijana wa jumuiya...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  8. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CUF afanya ziara TAWLA (Chama cha wanawake wanasheria)

    Katibu mkuu wa chama cha wananchi-cuf madam Husna Mohamed Abdallah leo jumanne tarehe 11 February 2025 alifanya ziara chama cha wanasheria wanawake Ilala Dar-es-salaam,katika ziara hiyo mbali na kujitambulisha lakini alipata nafasi ya kujadiliana mambo mbali mbali.
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina katibu mwenezi?

    Hivi mheshimiwa Lissu chama anakiendesha vipi? Katibu mwenezi mwenyewe? Mbona mambo yanaaza kuharibika mapema mno? Kama ndani ya chama yupo mwaka 20 kama kiongozi wa juu, inafika mwezi anashindwa kuchagua uongozi uliotimia au haamini watu ndani ya CHADEMA? Mbowe hayupo tena kwa kumbebesha...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

    Wakuu Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa? == Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA "Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

    Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi. Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi...
  12. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM amesema CCM itafanya marekebisho ya Katiba yao.

    Ni marekebisho gani hayo.?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lema awe katibu CHADEMA? Mnachekesha sana

    Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi? Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake. Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Chama cha Wananchi CUF chaweka Historia kwa Kumchagua Katibu Mkuu Bi Husna Mohamed Abdallah

    Chama Cha Wananchi CUF jana kupitia Baraza Kuu la Uongozi lilimchagua Bi. Husna Abdallah kuwa katibu mkuu wa chama hicho. Hivyo katika medani za siasa hapa Tanzania, Bibi Husna anakuwa ndio Mwanamama wa Kwanza kushika nafasi hiyo lakini pia hii inaonyesha jinsi Chama Cha Wananchi (CUF) kilivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila

    Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje. Barabara hiyo ni kiungo...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

    https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Baada ya wagombea kuchukua fomu inafuata hatua ya usaili na uteuzi wa wagombea...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi wa CHADEMA Njombe atimkia CCM

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM Mwaka 2020 Kayombo aligombea udiwani Kata ya Njombe Mjini, Kupitia lakini hakufanikiwa kushinda. Na mwaka 2024 aligombea...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu awe Mwenyekiti, Mbowe awe Katibu Mkuu

    Simple mathematics. Mbona Seif Sharif Hamad hakuwa mwenyekiti baki katibu mkuuna alishine. Wafuate mfano wa Putin na Medinefev wanaswutch tu vyeo vyao bila conflict
  20. U

    JamiiForums Tanzania Toka CHADEMA kuanzishwa hakuna katibu mkuu aliyemfikia Slaa

    Tangu mwaka 1992 hadi sasa katika makatibu wote wa CHADEMA ni Dokta Slaa pekee alikuwa na msimamo na speech zenye msisimko. Mashinji na Mnyika ndiyo wauza sura zaidi hawana ishu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…