This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
afrika
afrika kusini
chama cha mapinduzi
demokrasia ya kiafrika
hadithi
haki za kiraia
jamii za asili
katibakatiba pendekezo
katibayatanzania
kusini
maendeleo ya afrika
mageuzi ya kitaasisi
mapinduzi ya kiutawala
mazingira na maendeleo
mfumo wa kisheria
polepole
rais samia
serikali na wananchi
siasa za afrika
siasa za tanzania
tume yakatiba
uchambuzi wa kisiasa
uhuru wa mahakama
usawa wa kijamii
utawala wa sheria
viongozi wa afrika
vyama vya upinzani
wapinzani tanzania
watanzania
"Msajili wa Vyama vya Siasa, Serikali au Mahakama kuzuia CHAMA cha SIASA kufanya shughuli za Siasa kwenye mwaka wa Uchaguzi."
Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025
Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini...
Huu ni ushauri
Pia waonyeshe mradi wowote waliowai kufanya kupitia elimu yao.
Na waonyeshe matatizo na changamoto zilizopo kwenye majimbo yao na vipi watazitatua.
Waseme ni jinsi gani wataisimamia serikali.!
Bungeni kupeleka vilaza inachosha Sana
Waangalie wanaoenda kuchukua form vilaza...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
Katiba Bora ni kitu muhimu, hilo halina mjadala na ubishi. Lakini mwisho wa siku kama wanaoisimamia hiyo 'Katiba Bora' ni wezi, wachumia matumbo, majitu yenye ubinafsi uliokithiri na wasiokuwa na uzalendo; basi Katiba bora yo yote huwa ni bure ghali.
Rais Magufuli, Rais wa tano wa Tanzania...
MAANA NA VIPENGELE VYA KOSA LA UHAINI (TREASON) KWA MUJIBU WA KATIBA YA TANZANIA NA SHERIA ZINGINE HUSIKA
Povu Ruksa Ila Kwa vifungu sio maneno Matupu.
1. Maana ya Uhaini (Treason)
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, kosa la uhaini linahusiana na vitendo vinavyolenga kuangusha serikali halali...
Nimetafuta nakala mbalimbali za Katiba ya Tanzania lakini hakuna sahihi? Ni zipi sababu zilizopelekea tusitie sahihi kama ilivyo kwenye sheria na nyaraka nyingine?
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.
Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi...
Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo.
Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana...
Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila.
Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
2. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.
Wimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.
Swali.
Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.
1. Nini maana ya Mungu
2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania
a. Mwenge
b. Eloi
c. Allah
d. Yesu
Hii katiba iliyopo ni shamba, ni mradi kuna watu wanaifurahia wao na vizazi vyao, wao na rafiki zao, wao na washikaji zao, kwa hiyo wasingependa kuiona ikibadilika kwa sababu ndiyo shamba lao watakula wapi? Na hili shamba ni kubwa na nono, ndiyo maana kila siku tunapigwa danadana. Lakini jambo...
Wanabodi,
Utambulisho
Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu tukajitambulisha tena humu who we real are, hivyo mimi mwana JF mwenzenu, Pascal Mayalla, (Pasco wa JF)...
Walianza zamani kuonesha wao wako mbele kisiasa walipoitoa KANU madarakani na KANU ikakubaliana na matokeo.
Sisi mpaka sasa CCM Bado inasema yenyewe ikitoka madarakani nchi itaingia vitani.
Wakaja wakabadili Katiba yao na wakabadili kabisa mfumo wao wa Serikali. Tukawasifia.
Sisi hapa bado...
Wakuu,
CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga!
Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
ccm
club house
digital rights
katibayatanzania
kuelekea 2025
kuelekea uchaguzi 2025
kufungia x(twitter)
kuzima mitandao ya kijamii
uhuru wa kujieleza
uhuru wa kupata taarifa
uhuru wa kuwasiliana
uvccm taifa
Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya
Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu Mitandaoni alibatizwa kama Prince
Tangu enzi za Nyerere taasisi ya urais iliwahusu pia Ndugu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.