katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikileta vurugu, CCM itakuwa ndiyo chanzo kwa kukataza mjadala

    Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
  3. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki ya CHADEMA, Hotuba ya Mbowe Mwanza, na Uharaka wa Katiba Mpya: Hoja za Mbowe zinabeba ukweli kiasi gani?

    Jana, tarehe 19 Julai 2021, Mwenyekliti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, aliongea na waandishi wa habari mjini Mwanza. Katika kikao hicho Mbowe alilaani vikali uamuzi wa Jeshila Polisi mkoani Mwanza wa kuvunja kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Baraza la Vijana wa Chadema...
  4. JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

    Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA . Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona ===== Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO Kurushwa LIVE !
  5. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu leo, sio kesho

    Kwa unyenyekevu mkubwa Rais Samia ashauriwe ili nae apange kalenda ya mchakato wa kumalizia uwandishi wa katiba mpya. Sio rahisi kwa mwaka huu kuandika katiba mpya kwakuwa bajeti ya mwaka huu haina kifungu cha uwandishi wa katiba mpya. Lakini sio vibaya Mama yetu akasema kazi ya kukamikisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi nasema Katiba Mpya kwanza, Tume Huru ya Uchaguzi itajileta automatically

    Watanzania wenzangu unajua kunamambo huwa hayahitaji kutumia nguvu wala akili nyiiingi sana. Hebu tujifunze kua uweredi wa mafundi kinyozi huyu jamaa halipwi kulinganga na mashine yake kukaa sana kichwani kwa mteja bali kunyoa haraka na vizuri ndio kunampa umahiri wa kazi yake. Tofauti na...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kazi ya kudai katiba mpya sio lelemama, makamanda mjiaandae kunyea ndoo lupango

    "Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe.
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

    Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkosanisha Rais Samia na Watanzania na kumfanya achukiwe: Tozo za Serikali, Katiba Mpya, Uonevu wa Polisi, Mambo ya Muungano

    Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi Raisi Samia ajihahdari sana. Sifikiri kwamba viongozi wote, na hasa wateule wake, wapo pamoja naye siku...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nashauri mchakato wa Katiba Mpya uanze Januari 2026, lakini Tume ya Katiba Mpya iundwe Januari 2022

    Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze January 2026 (umalizike October 2028), lakini tume ya katiba mpya iundwe January 2022. Tume huru ya uchaguzi ipatikane October 2023 (miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa October 2025). Vyama vya siasa viruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe amepambana hadi tumepata Chanjo ya COVID-19; je, na Katiba mpya ataipigania kwa nguvu ile ile?

    Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja. Katiba mpya je? Mwamba atatuvusha?!
  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
  13. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

    Habari! Hii mada haina uhusiano na uchochezi. Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya? Katiba inaruhusu mikutano ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wadai katiba mpya wote: Hakuna njia rahisi ya kupata katiba duniani

    Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili ambayo wanasema hakuna haja ya katiba sijui tusubiri kwanza. Niwaambie wote tunaopigania katiba mpya...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
  16. JamiiForums Tanzania Serikali na Tume ya Warioba walichokisema juu ya Katiba Mpya

    Habari wanajukwaa na Watanzania wote kwa ujumla? Nachukua fursa hii adimu kwanza kumshukuru Mungu wa rehema! Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa muda sasa Tanzania tuliingia katika mchakato wa Katiba mpya jambo ambalo mpaka leo halijazaa matunda siyo kwasababu pengine wahusika wa jambo hili...
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru: Kwanini Katiba Mpya?

    Habari Tanzania! Naomba kuuliza wapenda nchi eti kwa muda wote huo wa umri wa nchi miaka 60 ndio tutake KATIBA MPYA? Kwanini kwa miaka yote 60 eti ninyi mnawaza maendeleo tu yasiyo kikomo au kuakisi mahitaji? Kwanini hawa wapenda siasa na waishio ndani yao wanapenda kuaminisha UMMA yakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania DC Jerry Murro apiga marufuku mijadala ya Katiba

    DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya Katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara. DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji, shule
  19. P

    JamiiForums Tanzania Maendeleo sio kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania, Tunachotaka ni Katiba mpya.

    "Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote; 👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi 👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba 👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
  20. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…