katiba mpya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

    Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu. Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza...
  2. JamiiForums Tanzania Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

    Wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hapo juu ni video yenye maneno kuntu kutoka kwa huyu Dr wa mchongo. Maneno haya ni ya hekima kubwa na yanapaswa yakae vifuani kwetu sisi wanaume, yaingizwe kwenye katiba mpya Hatuwezi kubadili Biblia au Misahafu ila hili ndilo neno la uokovu...
  3. JamiiForums Tanzania Tujifunze makosa ya Kenya katika kuandika katiba mpya yetu

    Kenya pamoja na kuwa na katiba mpya ila inaonekana bado kuna mambo hayakuwekwa sawa katika katiba hiyo. Mambo kadhaa bado hayajaweza kupatiwa ufumbuzi kupitia katiba yao mpya hayo ni pamoja na; 1.Ubadhirifu mkubwa wa pesa za umma, Nchini Kenya pesa za walipakodi bado zinafanyiwa ufisadi...
  4. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

    Wakuu, Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa. "Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya joto lazidi kupanda

    Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini. Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa. "Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama." Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China? Kwa hiyo ni kusema...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya. Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana. Tafadhali kama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itaondoa wanaume wapiga magoti na watandika kanga wa mfalme

    Hakuna fedhea na utumwa wa fikra kama mwaume mwenye familia kwenda kupiga magoti Kwa kiongozi WA kisiasa wakiamini NI Mungu. Namna Watanzania wanavyomsujudia mwanadamu just Kwa Sababu ana madaraka ina kera zaidi hata ya utumwa. Endapo katiba mpya itaondoa mamlaka makubwa ya kuteua zikabaki...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimo bila katiba mpya ni ndoto

    Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri. Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira. Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO.. Tumeshindwa kufanya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itatuletea matatizo haya 3 makubwa kwa nchi yetu

    Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda kupigiwa kura na wajumbe wa chama Akishapitishwa na wajumbe ndio tayari ameshakuwa rais, sababu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

    Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho? Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuharakisha Katiba Mpya tuunde 'Coalition of the Willing'

    Kupata Katiba mpya haiwezi kuwa lelemama. Tutapata katiba mpya mapema kwa kuidai kupitia chombo ambacho kitaulenga upatikanaji wake kama agenda pekee. Vyama vya siasa wana agenda zao. Watu binafsi nao wana agenda zao pia zinazoweza kuwa zaidi ya hii. Ni vyema vyama siasa, watu binafsi na...
  12. JamiiForums Tanzania Uingereza na Ufaransa wanaandamana kwa ugumu wa maisha, Lissu na CHADEMA changamkieni tenda ya kutengeneza Katiba Mpya kule

    Hello Wadau, Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake. Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yafuatayo yananifanya nione hakuna umuhimu wa katiba mpya kwa sasa

    Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya katiba iliyopo na umuhimu wake licha ya upinzani kuipigia kelele. Mtazamo wangu ni kwamba katiba ya JMT ni bora sana na kwa sasa ni baadhi ya vipengele tu vinahitaji kurekebishwa. Yafuatayo ni mambo yanayofanya nione umuhimu wa katiba tuliyanyo: I) Madaraka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    ..hii ni interview ya kwanza tangu atue nchini.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Umoja ni Nguvu, tuunganishe nguvu zetu

    Inafahamika kuwa maadui zetu ni walamba asali pekee. Hao ndiyo walio wanufaika wa hali iliyopo. Wengine wakiwamo chawa na hata waliowahi kuwa chawa au kuwa walamba asali, wote ni wahanga tu. Kundi la wasiojitambua halipaswi kuwa mzigo tena kufikia sasa. Tunaotaka katiba mpya Kwa namna yoyote...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa walioshindwa kuboresha Katiba za Vyama vyao watawezaje kupigania Katiba Mpya ya JMT?

    Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati? Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya Jumaa kareem!
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tusione aibu kuiga katiba ya Kenya kwenye mwelekeo wa Katiba Mpya

    Watanzania tunachotaka ni katiba mpya kusaidia nchi. Katiba hii mpya ambayo majadiliano yameanza sio ya vyama vya siasa ni ya Tanzania nzima kwa ujumla. Tusiwe wazito kuchukuwa na kuiga wenzetu wa Kenya kwenye vifungu ambavyo tunajua kabisa vinafanya kazi vizuri. Vifungu hivi ni pamoja 1. Tume...
  18. JamiiForums Tanzania CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mazungumzo na Rais yataendelea, lakini Katiba Mpya italetwa na pressure ya wananchi

    Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya. Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania. https://m.youtube.com/results?sp=mAEA&search_query=Lissu%2C+Mbowe%2C+Heche
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

    Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…