Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru!
Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua.
Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya...
Imagine, aliyekuwa MKURUGENZI wa Usimamizi wa UCHAGUZI kumbe ni kada wa CCM, all those days anasimamia uchaguzi mkuu in favor of CCM , and curently amechukua fomu to affirm.
Imagine, aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi ambae tunaamini anapaswa kuwa independent entity anakula teuzi kuwa mkuu wa...
Siku tutakapokuja kuwa na katiba mpya kazi ya ubunge iwekewe vipengele vya kuifanya kuwa kazi ya heshima kulingana na hadhi yake na umuhimu katika nchi.
Mojawapo ya kipengele muhimu sana ni mgombea ubunge awe mkazi ameishi katika jimbo analogombea kwa kipindi cha kuridhisha(mfano angalau miaka...
Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
Eti kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza 2025 mpaka 2030. Ahadi hii iswapumbaze na kuacha kupam ania mabadiliko
CCM hawataki mabadiliko ya katiba maana wanajua tukiwa na katiba kama ilivyopendekezwa na Jaji warioba mwisho wao utafika
Ikumbukwe huko nyuma walishaahidi sanaa juu ya katiba...
Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani .
Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tunapaswa Kubadilisha katiba ili Rais Samia apate nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza Muda wake 2030. Hii ni muhimu ili kulipa Taifa nafasi na fursa ya kutumia Maono yake makubwa katika kulipeleka Taifa mbele zaidi pamoja na...
Hivi mnadhani CCM hawataki mabadiliko? Aaahhh wapi!
Waliotengeneza ilani ya CCM waliona mbali, wameenda mbali si tu kurekebisha sheria za uchaguzi, CCM imeahidi kutupilia mbali katiba ya sasa na watakuja na katiba mpya! Acha kuhangaika na ka sheria kamoja ka uchaguzi, CCM wanatupa injini yote...
Waswahili husema sikio la kufa huwa halisikii dawa, na wakasema pia Kenge hadi damu zitoke masikioni na puani ndo asikie kipigo. Ni wazi kabisa viongozi wa CCM wamechanganyikiwa na bado hawaamini kuwa wananchi ndo wameshaliamsha hivo. Hapa tulipofika ni lazima mabadiliko katika tume ya uchaguzi...
Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??.
Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku wakitoka Kwa Dola ,watawajibishwa !!.
Hivi Mafwele atakua wapi kuacha CHADEMA ICHUKUE Nchi?.
Akina...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia na kukabidhi kwa vyama vya siasa kabla hawajaandaa ilani zao.
Ngurumwa amesema kuwa Ilani ya...
Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30 Mei, 2025.
Soma hapa Ilani > Ilani ya CCM 2025-2030
https://www.youtube.com/watch?v=yXnzuEg-DLk...
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
Tume imezunguuka nchi nzima, bunge likaundwa, watu wakala posho, wengine wakasumbua kichwa kuandika na kutoa maoni, amd them ni kama vile mchakato ushatupwa, WHYYYYY?
Pesa za umma
Hajaliwi aliechuma
Wanaokula wana njama
Kama huamini, uliza father Kitima.
Ama Tundu Lissu, gerezani alikokwama...
Kwa sasa Uchaguzi Mkuu umekaribia na bado miezi kama sita tu ambapo hakuna namna yeyote mabadiliko yanaweza kufanyika. Hivyo naomba Mamlaka kufanya yafuatayo mara tu baada ya Uchaguzi mkuu Oktoba, 2025.
(1) Mamlaka ichukue jukumu la haraka kuandika Katiba Mpya ambayo imepigiwa kelele sana na...
Kinachotakiwa sasa kuwekewa mkazo sio tu katiba mpya ni mifumo ya kiuchaguzi bali na jeshi jipya, haiwezekani leo hii jeshi linauwa raia wasio na hatia bila huruma alafu alichukuliwi hatua zozote za kisheria lazima kuwe na mabadiliko kwenye jeshi la polisi