katambi

Garcinia indica, a plant in the mangosteen family (Clusiaceae), commonly known as kokum, is a fruit-bearing tree that has culinary, pharmaceutical, and industrial uses.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Kabla Patro Katambi hajahama CHADEMA

  3. JamiiForums Tanzania Katambi amepotoka, anahitaji toba

    Naibu Waziri anayehusika na mambo ya Ajira sijui na Nini vile, amejitokeza na kuwalaumu vijana wenzake kuwa ni walalamishi na wanachagua Ajira! Sina tatizo na Hilo ila tatizo langu ni wapi zilipo Ajira ambazo vijana walipewa wakazigomea? Ni ujinga na kujilisha upepo kuona au kuwadharau vijana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

    Katambi avunja gome ya Upinzani Ushetu " Tunahamia CCM hatuwezi kubaki kwenye chama kinachosusia kila Uchaguzi " Je Nani ni Nani leo kati ya ACT-Wazalendo na CCM-Tanzania "Tutampa Rais Samia ushindi mnono kama shukrani yetu kwake -wapigakura " Katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Hayati Elias...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui " "Hakuna kama Samia " Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Patrobas Katambi acha Uongo bado hujafikia huku unakojimwambafai nako na una mengi tu ya Kujifunza

    "Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya" Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi cha dakika 45 cha Jumatatu ya tarehe 6 Septemba 2021. Tafadhali kama Patrobas Katambi yupo ( ni JF...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi "adindishiwa" na mwananchi

    Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine". Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini. Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.
  8. JamiiForums Tanzania Ofisa mifugo mbaroni kumkashifu Naibu Waziri Katambi

    OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira. Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi kama Naibu Waziri

    Wasalaam, Ndugu zangu nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Mawaziri na manaibu waziri, kiukweli nachelea kusema Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi take pamoja na kwamba kuna changamoto nyingi ila he does his best.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…