kasi ndogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Inachosha sana kutanguliwa na mtu mwenye kasi ndogo wakati wewe una kasi kubwa; Uhalisia katika uongozi wetu tulio nao

    Wajumbe amani iwe kwenu. Katika maisha ya kawaida, huenda ulishawahi kutokewa na hii hali hasa katika hali ya msongamano wa watu au magali. Mtu anakuwa mbele yako, anatembea kwa kujivuta, au anaendesha chombo taratibu sana ilhali wewe una haraka zako na hataki umpite! Binafsi huwa nachukia sana...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kituo cha kuandikisha wapiga kura, utaratibu mbovu, kasi ndogo ya uandikishaji unawakatisha tamaa watu wengi kujiandikisha

    Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji. Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Ambana Mkandarasi Kasi Ndogo Ujenzi wa Barabara ya Nyamwage - Utete

    BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE - UTETE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete (km 33.7) kwa kiwango cha lami na kumuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu za kasi ndogo ya maendeleoya nchi nchini Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri wa asili mkubwa duniani, lakini pamoja na kuwa na utajiri huo kasi ya maendeleo ya nchi ni ndogo sana ukilinganisha na rasilimali tulizonazo . Nini chanzo cha hayo yote?1.Kukosekana kwa dira ya taifa. Maendeleo yanahitaji dira kuu ya Taifa ili...
  5. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania DAR: Kasi ndogo ya wanaochanja yamshtua Mganga Mkuu

    Kasi ndogo ya chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 imemshtua Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume, na kuwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupata chanjo. Dk. Mfaume alitoa msisitizo huo jana Aprili 5, 2022 baada ya kubaini kuwa kasi ya watu kupata huduma...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Internet ya Vodacom imekuwa na kasi ndogo

    Tangu nianze kutumia laini ya Vodacom natamani nidiriki kusema hii speed yao ya Internet siielwi kabisa. Mwanzoni ilikuwa kilio cha vifurushi-- Ila kwa bahati nzuri vifurushi-- nafuu vimerudishwa Mana naweza pata 1GB kwa 1000/= Ila shida imekuwa kwenye speed ya internet, speed n ndogo sana...
Back
Top Bottom