karibuni sana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. goldcall

    JamiiForums Tanzania Fast food kwa wafanyakazi wa maofisini Dar es salaam, Karibuni sana

    Kichwa cha habari chahusika, Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu. UBORA KATIKA KAZI: 1. Chakula kinaandaliwa na ma chef...
  2. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

    Imeuzwa
  3. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Karibuni Sana Zulu star

    karinu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  5. Jerry magere

    JamiiForums Tanzania Car4Sale INAUZWA Landcruiser V8 inauzwa matajiri, karibuni sana

    LANDCRUISER V8 DJH YEAR 2011 UPGRADE TO 2016 ENGINE SIZE 4.5L ENGINE CODE 1VD-FTV DIESEL ENGINE✅ AUTOMATIC TRANSMISSION LEATHER SEATS✅ OPEN ROOF✅ NEW TYRES✅ PRICE 138M
  6. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana simba na yanga na wana michezo wote

    Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kwenye makambi Kanisa la Waadvetista Wasabato Salasala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala Nyote mnakaribishwa sana Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia Kwaya za kutosha zitahudumu Usipange kukosa mtu wa Mungu Mtaarifu mwenzako Mungu...
  9. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
  10. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

    Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali. Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
Back
Top Bottom