karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UZI MAHSUSI: Zilipendwa, audio/ video/ mashairi lyrics). Karibu upate burudani.

    Huu ni Uzi maalum wa kupata flashbacks za nguvu kutoka nyumbani Tanzania Na hata nje ya Tanzania. Karibuni kwa audio, video Na lyrics..
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mnaoishi karibu na club mnawezaje hayo makelele

    Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club. Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi kubwa. Huyu DJ nahisi anapiga na mirungi, sijui kama siyo smart. Wanaanza vizuri, muda ukifika saa...
  3. JamiiForums Tanzania We do design and construction services

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
  4. JamiiForums Tanzania Karibu kwa Ufahamu na Ushauri kuhusu Ramani na Ujenzi...kisha tufanye kazi🤝

    Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi. Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro. Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye JF Music awards 2024

    Hello the Bosses and Roses. Katika kuelekea kuufunga mwaka wetu huu wa 2024, embu twende pamoja katika kuwapa tuzo wasanii wetu wa Muziki kwa kuwa wanafanya kazi kubwa kuhakikisha jamii yote inaburudika, inaelimika na pia inafuraha kutokana na talanta za sauti zao walizopewa na Mungu. JF Music...
  6. JamiiForums Tanzania Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

    Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa anakaribia kukata roho huwa anaona aibu kuangalia usoni watu wanaokuwa karibu yake

    Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania "Wife Material" Mcha Mungu - KARIBU

    HABARI ZENU NDUGU ZANGU 🙏 Najitokeza kwenu, na kwa kumshirikisha Mungu kuwa natafuta mwanamke wa kujenga nae familia pamoja. Kama kuna mwanamke ambaye anaji-consider yeye mwenyewe kuwa ni "WIFE MATERIAL NA PIA ANA HOFU YA MUNGU" ( after evaluating herself) na ana uhitaji wa "MUME" na sio...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  10. JamiiForums Tanzania Umeme unakatika karibu kila siku jamani! Au ndio changamoto za kuondolewa kwa Songas zimeanza?

    Kuna uwezekano wa kwamba kuondolewa kwa Songas kumechangia hali hiyo, hasa kama kulikuwa na utegemezi mkubwa kwenye mitambo yake ya kuzalisha umeme. Songas ilikuwa na jukumu kubwa katika uzalishaji wa umeme nchini, na kuondoka kwake kunaweza kuleta changamoto za upatikanaji wa nishati kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Karibu Jijini!

    Maandishi haya si mageni jijini, labda kwa mgeni jijini. Ila kwa wanyeji wa jiji, ni maandishi tuliyoyazoea "Ntakutumia kuna ishu naiskilizia" "Shemeji uko wewe peke yako" "Lini nije kwako unipikie?" "Babe sorry, simu ilizima chaji tokea Ijumaa jioni" Wakuu ongeza maandishi ambayo si mageni...
  12. JamiiForums Tanzania Baltazar karibu ROMBO

    ROMBO watu wana uhaba kuondolewa upwiru. Maana wanaume zao wapo bize na kvant. Watu 400 utakua umesaidia Sana wilaya nzima ya Rombo
  13. JamiiForums Tanzania Proxima centauri : Nyota ya karibu kabisa yenye eneo linaloweza kussport uhai

    Proxima Centauri: The Closest Star with Potential for Life Natumai mnaendelea vizuri! Kila mmoja wetu anahitaji kusoma na kujifunza kuhusu ulimwengu tunaoishi. Kwa hivyo, ninawaahidi kuwa nitachapisha makala moja kila wiki kuhusu uchunguzi wa anga kwa kipindi cha mwaka mzima. Usisahau kusoma...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Iman Luvanga mwambieni nampenda

    Ndugu zangu mficha mauti kifo humuumbua wakuu kuna mtangazaji wa crown media anaitwa Iman Luvanga wakuu nampenda na kumpenda zaidi 🥰🥰🥰🥰 mfikishieni mlio karibu nae aiseee
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

    Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni...
  16. JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  17. JamiiForums Tanzania Vijana tukumbushane kama sio kuelimishana maana Giza lipo karibu

    Wakati unamlaumu mzazi kuwa maskini jiulize wewe hadi Sasa unapambanaje na umaskini hasa wa familia Yako au nawewe unasubiri uje usemwe na wanao?? Tanzania tumejaliwa kuwa na maeneo mengi ya kilimo kwa kila mkoa lakini maeneo hayo yapo wazi hakuna zao lolote. Ngoja niwasanue vijana wenzangu...
  18. JamiiForums Tanzania Mikopo Consultant: Karibu Kwa Huduma ya Ushauri wa Mikopo

    Nina jumla ya uzoefu wa miaka 7 (saba) kwenye masuala ya kibenki na utoaji na upembuzi wa mikopo. KWa uzoefu wangu huo, ninaelewa mbinu na namna bora ya kufanya ili usisumbuke kupata mikopo kwenye taasisi za fedha ikiwa wewe ni mtu binafsi au kampuni. Huduma zetu 1) Tutakusaidia kupata mkopo...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwapa habari yako njema kwa watu wako wa Karibu halafu wakaonesha kutokufurahia habari hiyo?

    Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo. Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi. Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kuna Heavy duty balance scale tonnes 80 used na tonnes 60 new karibu sana

    Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…