kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Makonda (Bashite )anatumika kuhamisha mjadala wa gorofa kuporomoka Kariakoo

    Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya. Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari...
  2. Tujifunze kitu kwa tukio hili na mengine yote yajayo

    1. Heshimu na Mthamini kila Mtu Bila Upendeleo Tunaona namna gani Tukio la kariakoo lilipotokea waliosaidia wenzao ni wale watu wa kawaida kabisa wa maisha ya kawaida na wala si matajiri au watu wenye uwezo,hii inatoa picha kwamba kwenye maisha Tujifunze kuthaminiana na kuheshimiana. 2.Uwe na...
  3. Yaliyotokea Kariakoo: Ushauri

    Pole kwa waathirika. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka. Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio. Hapa...
  4. Kwanini wachungaji watumishi wa MUNGU wametengwa suala la uokozi kariakoo

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU Watumishi wa MUNGU...
  5. R

    Compare and contrast, lazima majengo ya kariakoo yaanguke yote maana yamejengwa hivyo yote

    Serikli ifanye tathimini ya majengo yote kariakoo, yooooooooooooooooooooooooooote! short of that makubwa yanakuja kwenye s clled gorofa za kariakoo. angalia na linganisha floor hizo mbili https://x.com/i/status/1857878582976229744
  6. Serikali isiwachekee wafanyabiashara wa Kariakoo wanaovunja sheria kwa tamaa zao

    Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma. Hizi underground floors zimeibuka sana miaka ya karibuni kumbe ni uhuni wa watu wenye tamaa wasioridhika na vipato yao. Ninatia wito kwa...
  7. Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  8. M

    Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

    Mimi ni mshabiki namba moja wa Israel, ila nimeguswa na tukio la kuanguka kwa Jengo Kariakoo, Jitihada tuliyoweka katika uokozi ni aibu kwetu hasa sisi Watanzania tunaomini sio Nyani. Gaza kwao kuanguka kwa majengo ni kila siku tena kwa mabomu na sio uzembe, lakini Watu wake na mifumo yao ya...
  9. Ushauri kwa waokozi kariakoo!

    Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu la mraba kushuka chini, katika urefu wa mita 6-7, halafu waanze kwenda mbele usawa wa lango kuu...
  10. Naambiwa mwenye jengo lililoporomoka Kariakoo ni Kigogo, Je nani na kwanini mpaka sasa hajatajwa?

    Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo? Naambiwa na mtu mzito (kigogo) Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu? Ni wakati muafaka sasa wa kumjua
  11. Kilichotokea kariakoo jana msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu! Viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maslahi tu

    Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
  12. M

    Janga la Kariakoo limeendelea kuthibitisha udhaifu wa serikali kwenye majanga ya ghafla

    Kwanza, Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari. Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege...
  13. Muhanga aliyezushiwa kufa kwenye kifusi Ghorofa la Kariakoo ameeleza hali ilivyokuwa

    Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
  14. R

    Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

    Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
  15. Shuhuda aliyeshiriki kuokoa watu Kariakoo asema "Kule chini hali ni mbaya, nimeshuhudia Watu wamefukiwa na vifusi"

    Nassor Athuman akizungumza kile alichokishuhudia baada ya kutoka eneo ambalo jengo limeanguka Kariakoo, Dar es Salaam. Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza kuwasaidia kutokana na hali jinsi ilivyokuwa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila anasema...
  16. R

    Je, yapo majengo mangapi Kariakoo yaliyoongezwa kwenda chini (underground floor) na wamiliki?Wanaofanya haya wanapewa kibali na serikali?

    Baada ya kuanguka ghorofa huko Kariakoo chanzo kinadai mmiliki alitaka kuchimba chini ajenge underground floor kwa ajili ya kuongeza fremu za biashara. Naamini huyu siyo mmiliki wa kwanza kufanya hivi, amefuata nyayo za wamiliki wengi waliotangulia. Naamini pia kwamba majengo yaliyochimbwa...
  17. Janga la Kariakoo linatakiwa liwe somo kwa Watanzania

    Baada ya jengo la Kariakoo kuanguka, ni wazi kuwa Tanzania tunapaswa kuanza kuthamini masuala ya mipango miji. Inasikitisha kwamba mwaka 2024 bado tunaona nyumba zikijengwa kiholela, maeneo ya makazi duni (slums) yakiongezeka, na majengo ya kizamani yakiendelea kujengwa bila kuzingatia viwango...
  18. Kwenye ajali ya Kariakoo, mmiliki wa jengo awajibishwe ili iwe mfano

    Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground. Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini. Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya. Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja...
  19. Janga Kariakoo - Bendera zinafaa kupepea nusu mlingoti

    1. Vifaa vya uokozi na magari ya kifahari, vipi ghali? Na muhimu? 2. Watu wamekufa, baadhi bado wamekwama. Kwann tusiomboleze Kwa kupepea Bendera nusu mlingoti.
  20. Siri ya Maisha na ghorofa la Kariakoo

    π—¦π—œπ—₯π—œ 𝗬𝗔 π— π—”π—œπ—¦π—›π—” Maisha yanaweza kubadilika kwa sekunde tu, kutoka kupambania rizki mpaka kupambania uhai yaani hakuna ajuaye nyakati hizi maana kila kitu ni ndani ya dakika tu kinachukua sura mpya. Kutoka nyumbani salama na Familia inakusubiri urejee na chochote kitu, mpaka sasa Familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…