kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

    Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa💔🕊
  2. Kwahiyo Peter Msechu anaumia wakifa viongozi tu ila hili la Kariakoo halijamuuma?

    Peter msechu hili waliokufa kariakoo halijamuuma? Au kwenye misiba ya viongozi wakifa kuna per diem anapata? Ila akiimba hili la kariakoo hamna chochote kitu?au mwana ni msaka tonge?
  3. Dada alia kwa uchungu: Bado namtafuta Mama yangu, hajulikani alipo tangu ajali ya jengo Kariakoo'

    Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16, 2024. Irene amezungumza na TBC Digital katika eneo hilo la ajali Kariakoo ambapo shughuli za uokoaji...
  4. RC Chalamila aonya wanaotumia janga la Kariakoo kutapeli watu, "Sio muda wa kujinufaisha, Kuchuliwa hatua kali"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya baadhi ya Watu wanaotumia janga la kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo kutapeli kwa kuchanganisha michango kinyume na taratibu kuacha mara moja akisema wanaweza kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Pia, Soma: Maafa Kariakoo: Usichangishe...
  5. Maafa Kariakoo: Usichangishe fedha tumia akaunti ya Serikali

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya kuwachangia waliopata maafa Kariakoo. Jina la Akaunti National Relief Fund Namba ya Akaunti 9921159801...
  6. Msemaji wa Serikali: Changamoto ni namna jengo lilivyoanguka, Watu wengi walinaswa kwenye Basement

    "Changamoto kubwa ni namna jengo lilivyodondoka maana watu wengi wamekamatika chini kwenye basement na jengo lilivyodondoka unaona upande mmoja jengo linaonekana na upande mwingine halionekani hivyo kifusi chote kimekusanyika upande mmoja sasa namna ya kukitoa kile kifusi kuwawahi watu na haujui...
  7. Kariakoo ni kituo cha Uchuuzi cha Kimataifa, Sio kituo cha Biashara cha Kimataifa

    Kariakoo ni sehemu ya kuchuuza vitu ya kimataifa na inapata promo kwa sababu pia tunazungukwa na nchi randlocked nyingi tunazo fanana nazo kama Burundi, Congo, Rwanda, Zambia, Malawi hizo zote ni nch za uchuuzi, za Frame Economy. Kariakoo haiwezi kuwa kituo cha Kibiashara cha kinataifa, kariakoo...
  8. Majengo mengi Kariakoo yanapaswa Kubomolewa haraka! Nyumba za Makazi zimegeuzwa Stoo za Mizigo mizito

    Ubovu wa Majengo ya Biashara Kariakoo: Hatua za Haraka Zinazohitajika kutoka Serikalini Kariakoo, mojawapo ya maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na changamoto kubwa ya majengo mabovu. Majengo haya, ambayo awali yalijengwa kwa matumizi ya makazi, sasa...
  9. B

    Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

    Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna maafa nchini kwake?? Kariakoo waziri mkuu alienda na kutoa maagizo .. sasa Raisi afate Nini?? Je...
  10. M

    Serikali imebariki majengo ya makazi Kariakoo kugeuzwa kuwa magodauni bubu ya kuhifadhi mizigo inayotoka kwenye makontena bandarini?

    Apartments nyingi za maghorofa ya kariakoo yamegeuzwa kuwa magodauni kwa ajili ya kuhifadhia mizigo ya makontena pindi inapotoka bandarini. Kunakuta Apartment moja inajazwa mzigo wa makontena 3 hadi 5 ya 40 ft. kitendo kinachopelekea uzito mkubwa juu ya maghorofa. Hizi apartment s zimesajiliwa...
  11. Asante Kariakoo!

    ASANTE SANA KARIAKOO! NINGEKUWA kwenye jengo lililoporomoka. Sina matumaini ya kuokolewa. Nini ningefanya? Simu yangu ingekuwa na charge, network ipo sawa, ningeandika ujumbe gani kwa familia? Ningepost nini mtandaoni jamii isome? Moyo mzito kuwafikiria waliowapoteza ndugu zao waliowapenda...
  12. M

    Je wahanga wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa la kariakoo watalipwa fidia?

    Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
  13. J

    Kiukweli Kariakoo hakunaga mfanyabiashara wa Kujenga ghorofa lenye Viwango, hawana fedha hizo. Angalia gharama ya ukarabati wa Soko la Serikali!

    Kariakoo ni Mji mkongwe na ukitaka kujenga ghorofa Basi ujue itapita miaka 100 bila kurudisha gharama ya uwekezaji, Wataalam wa RoI mnaelewa Vizuri Hii ndio sababu maghorofa yote ya kariakoo Yako chini ya Viwango Unadhani kwanini NHC hawabomoi Nyumba zao za Kariakoo na kujenga ghorofa na...
  14. Ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo nani wa kulaumiwa baina ya wajenzi na serikali?

    Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria. Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama...
  15. Hakuna sehemu iliyo salama hapo kariakoo

    Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa. Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa serikali itabeba gharama zote za matibabu kwa waliojeruhiwa na kwamba baada ya zoezi la uokoaji...
  16. Prof Tibaijuka alia ujenzi kiholela umegharimu maisha ya watu kariakoo

    https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5 =================== Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu. Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
  17. J

    Dr Nchimbi apongeza Kasi ya Uokoaji Kariakoo na kusema iongezwe zaidi, asema CCM iko tayari kutoa Msaada wowote utakaohitajika!

    Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi: 1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji 2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi 3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka 4. Shukrani Kwa RC...
  18. R

    Vyombo vya habari tumeachana na Msiba wa Kariakoo tunaposti habari za Mkuu wa Mkoa; utu umezimwa na pesa

    Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake. Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa ghorofa siyo habari bali miezi sita ya kisiasa ni habari. Tunaweza tusione tatizo kama Taifa ila...
  19. Kujali Majanga ya ajali kama Kariakoo Rais Samia ajifunze toka Rwanda kwa Kagame 9/Mei/2011

    Wananajamii forum,heshima kwenu. Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga. Vifaa sahihi, watu sahihi kwa majanga walichelewa kuja, na kuanza kazi yao. Ambassador choir of Christ wa wa Rwanda walipata...
  20. Mwenye jengo akamatwe, eneo liuzwe, mali zake zifilisiwe, halafu hela zote wapewe majeruhi na waliofiwa

    Niaje waungwana Kwa kile kilichotokea jana hapo K'koo, mimi nashauri kwanza mwenye ghorofa lililoanguka akamatwe, mali zake zifilisiwe, na kiwanja kilichokuwa na jengo kiuzwe ili hela zitakazopatikana zitumike kuwasaidia wale wote waliojeruhiwa na waliofiwa na baba zao, wame zao, wake zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…