Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa Kesho Juni 25, 2020 saa 11:00 jioni kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Ni utaratibu siku moja kabla ya...
Bajeti ya taifa ni nyenzo muhimu inayolenga kuhakikisha serikali inatoa huduma kwa wananchi na kuendeleza taifa. Ni hati ya fedha inayotoa dira ya mapato na matumizi ya taifa. Hata hivyo, bajeti ya mwaka 2025/2026 imeonyesha mazingira ya kipekee ambapo mjadala wa kitaifa juu ya bajeti uligubikwa...
Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni...
Klabu ya Simba imeruhusiwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 14 Juni 2025, siku ya Jumamosi ambayo ni siku moja kabla ya mechi ya 'DABI' dhidi ya Yanga SC.
Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imewaandikia barua hiyo hapo juu klabu ya Simba ambayo ndiyo klabu mgeni kwenye...
Wakuu!
Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa?
===
"Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda...
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
Wakuu,
Wale wapenzi wa soka la Tanzania, mna salamu zenu huku!
Akiwa anazungumza bungeni leo, Mbunge wa Busega, Simon Lusengekile ametaka mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba maarufu kama Kariakoo Dabi iliyopangwa kupigwa Juni 15, mwaka huu katika Uwanja wa...
Ukiisoma barua barua ya Yanga baada ya CAS kutupilia mbali shauri lao kwa mtu aliyeenda shule atagundua barua ile imeandikwa kwa mihemuko na makasiriko which is not professional.
Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kushindwa tu kuelewa hawapaswi kuruka ngazi za kimaamuzi wakati hata form four...
Utani si ugomvi, hebu mpongeze mtani wako kwa hatua aliyofikia.
Ikibidi mtag kabisa hata mmoja Kisha ipongeze team yake kwa hatua ya fainali ilofika.
YANGA yupo fainali muungano. SIMBA yupo fainali Shirikisho CAF
Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8.
Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
benjamin mkapa
derby
hatma
kariakookariakooderby
kikao
kucheza
mashabiki
mashabiki wa yanga
mkapa
nje
nje ya uwanja
uwanja
uwanja wa benjamin mkapa
wagoma
yanga
Wakuu
Uongozi wa TFF, Bodi ya Ligi, Simba na Yanga chini ya Wizara ya Utamaduni, sanaa na michezo utakutana kesho Machi 27 saa 4 asubuhi katika ofisi za BMT kujadili hatma ya mechi ya Derby iliyoahirishwa Machi 8.
Pande zote zimethibitisha kushiriki kikao hicho.
Soma, Pia
Serikali yawaita...
Mbwembwe za mgogoro huu wa Yanga kugoma kucheza mechi iliyoahirishwa tarehe 8 March una baraka zote kutoka serikalini ili kudhoofisha mada kuu ya Chadema ya NO REFORM NO ELECTION, maana hawana uwezo wa kuikabili na nguvu ya hoja hiyo inavuka mipaka ya nchi.
Lakini kwa vile masikio na mawazo ya...
BODI hii imejaa wahuni sana sana sijui tunaelekea wapi. Hawa jamaa ukisoma barua zao wanasema wamehairisha kwa sababu ya uchunguzi.
Hapohapo wanasema watatangaza siku nyingine ya marudiano.
Kama mmeshaamua kurudiwa unachunguza nini? huu ni ushenzi na uhuni si mngesema tu tumehairisha kwaajili...
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda...
Huu ndio mtazamo wangu, na ili ukweli ujulikane, iundwe kamati ya uchunguzi na kamati hiyo iundwe na CAF au FIFA na wajumbe baadhi watoke nje ya nchi na ikiwezekana wajumbe wote watoke nje ya nchi(wasiwe watanzania).
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya...
Uamuzi wa kamati ya uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kuahirisha mchezo namba 184 kati ya Young Africans (Yanga SC) na Simba SC uliokuwa uchezwe tarehe 08 Machi 2025, haukuzingatia hasara mbalimbali zilizotokana na kuahirishwa kwa mchezo huo, ikiwemo nafasi...
Nimeiona hii video mtandaoni. Je ni kweli huyu jamaa aliyasema haya ya Simba kutokuja uwanjani kabla ya Jana au wameirekodi jana na kuifanya ionekane ya zamani?
Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika, mashabiki tumekwishawajibika.
Siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka Duniani imekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.