The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.
Mughonile!
kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba:
"Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma."
Nauliza, je...
Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa.
Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo...
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake!
Toeni tamko tuache uoga na unafiki
Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi
Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa mafundisho na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii kama afya na elimu bila kuchoka hata pale inapotokea...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzenu,pamoja na mambo mengine yote,mimi pia ni Mkristo Mkatoliki, ila Ukatoliki wangu, ni wale Wakatoliki tulioendelea endelea, kwa Lugha ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Kwa maelekezo ya Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania, TEC, Kanisa Katoliki Tanzania,na...
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha...
Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo
Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na yalitumika Vipi
Taarifa kamili hii hapa
https://youtu.be/tKE8-hIRyBk?si=W57s4O3HXa2DRc83
Kanisa Kuu la Córdoba, pia linalojulikana kama Msikiti-Kanisa Kuu la Córdoba (Mezquita-Catedral de Córdoba), ni la kipekee kwa sababu ya historia yake ya ajabu na usanifu.
Awali, ujenzi huo ulianza kama kanisa la Kikristo katika karne ya 6, lakini mwaka 784 BK, uligeuzwa kuwa Msikiti wa...
Huwa hawakurupuki kufanya Jambo lao
Ni kanisa lililojaa majasusi mpaka wavaa baragashia.
Hawa ndio serikali kubwa kuliko zote duniani.
Hawana ndio wanashikilia uchumi wa dunia kupitia kupitia mifumo ya kibenki wakishilikiana pamoja na Israel.
Je wajuwa ndio usimika Ma-Rais wa nchi zote...
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na uzima wamefanya jitihada mbalimbali za kutafuta majengo na mabanda mbadala ili waweze kuendelea kuabudu, lkn kote huko wamefurushwa. Wamefurushwa ktk maeneo 7 tofauti..
Ndipo sasa Gwajima anaulliza serikalini ya Samia imefungia imanii ya waumini hao ama imefungia...
Kwa mjibu wa maelezo ya Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima Tanzania.Itakuwa maajabu kama wafuatao wataenda kupiga kura
1. WAKATOLIKI:Kufuatia kupigwa kwenye makazi yake Padre Dkt. Charles Kitima ambaye pia ni Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) na shambulio hilo kuhusishwa...
Kwanini wasiwaombee wagongwa mahospitalini,vita ya kongo,vita ya israel na palestina,nk?
Mbona waTz mnakuwa mataahira hivi jamani?uzuzu gani huu?wao wenyewe wanaotaka kuombea taifa ndugu na jamaa zao wanaowazunguka wana hali mbaya kiuchumi,afya,nk kwanini wasiwaombee hao?
Au wanawaombea...
Natoa tu angalizo hasa kwa ndugu zetu wa KKKT na Anglican namba ya Wachungaji wa kike inaongezeka kwa kasi sana
Sina hakika kama Ndivyo ilivyo kibiblia au la
Ahsanteni sana 🙏🇮🇱
Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.
Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo...
Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika.
Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k
Mara...
Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadeus Ruai'chi ameagiza katika Parokia zote na Asasi zote katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam ifanyike Novena ya siku tisa (9) kuomba Haki na Amani kuanzia Agosti 15 -23, 2025.
Askofu Mkuu ameelekeza kwamba Novena hiyo iambatane na kuabudu Ekaristi...
Hakuna anayefurahia mateso, hakuna anayependa kuumia, pamoja na kutokupenda huko tunajikuta tupo ndani ya mateso mengi.
Katikati ya mateso tunaweza kupata mtu bora, tunaweza kupata kanisa imara, kwa lugha nyepesi mateso huleta faida.
Mateso yanawezaje kuleta faida? Jibu lipo kwenye video hii...
Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli.
Sisi Wakatoliki kama Kanisa...