kanisa la mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Uwepo wa kanisa la Mwamposa karibu na maeneo yetu..kwa kweli tunalala kwa amani, wachawi waganga wanaumwa.wengine wamehama kabisa

    Kwa kweli Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada Yaan toka waanze ibada kanisa jipya kwa kweli kuna waganga wametesa wengi sana eneo la kawe Hivi...
  2. K

    GE2025 Kama Kweli CCM mtawaondoa Wachangamsha Bunge Akina Mpina, Bunge lijalo litakuwa Mithili ya Kanisa la Mwamposa

    Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani. CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni afadhali mabunge ya enzi za Chama kimoja. Enzi hizo wabunge walikuwa machachali kama alivyo Mpina...
  3. LIKUD

    Ukweli Mchungu : Kanisa la Mwamposa " Arise and Shine" ndio taasisi ya kiimani inayo hitajika zaidi Tanzania kuliko hata kanisa Katoliki na Uislamu

    Sio Tanzania tu bali Afrika nzima. Kwa sababu, kanisa la Mwamposa ndio taasisi pekee ambayo ina waunganisha wakristu na waislamu kwa pamoja.( kiimani) Wakristu na waislamu kwa pamoja wanakusanyika kufanya Ibada ya pamoja kwa pamoja wakiwa wanaongozwa na kiongozi mmoja. Ni kitu kikubwa sana...
  4. Mshana Jr

    Uzinduzi wa kanisa la Mwamposa na maswali ya kujiuliza

    Serikali imekusanyika Tanganyika Packers, Kawe kuzindua Kanisa la Arise & Shine la Boniface Mwamposa. Televisheni ya Taifa ipo mubashara (LIVE). Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi...
  5. Stuxnet

    Nape na Makonda kwenye uzinduzi kanisa la Mwamposa (Ipe maneno)

    Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet?? Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
  6. Tabutupu

    Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

    Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali, Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami? Angalia hii clip Mwamposa akipngea. Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.
  7. J

    Rais Samia: Sitarajii hema hili litakwenda kudanganya watu ila litakwenda kukaribisha Wakristo wapate Neno la Mungu

    Akizungumza leo kwenye uzinduzi wa hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hategemei kuona hema hilo linatumika kudanganya watu na badala yake anatamani kuona hema hilo linatumika kuhubiri Injili "Sitarajii hema hili alisema vizuri mwanangu Tony kwamba...
  8. Just Pray

    GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  9. Waufukweni

    RC Chalamila: Askofu Maboya alipendekeza niwe Shemasi wa Kanisa la Mwamposa

    RC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
  10. Waufukweni

    Picha: Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) yashiriki uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
  11. ngara23

    Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

    Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua. Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni...
Back
Top Bottom