kanisa la askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Video: Askofu Gwajima akicheza kwa furaha Kanisani kwake baada ya kurejea Madhabahuni

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameonekana akiwa katika hali ya furaha kubwa kanisani kwake, akicheza na kuimba pamoja na waumini, ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana kanisani hapo baada ya kanisa hilo kufunguliwa. Kanisa hilo lilifungiwa kwa muda na Serikali kufuatia...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

    Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa...
  3. Just Pray

    PostGE2025 Waumini wakusanyika nje ya kanisa la Askofu Gwajima

    Kutoka Ubungo -Chai bora, jijini Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo chini ya Askofu Dkt. Josephat Gwajima, Jambo TV imepita na kushuhudia baadhi ya waumini wa Kanisa hilo wakiwa wamejitokeza kwenye viunga vya Kanisa hilo mchana wa leo, Jumanne Novemba 25, 2025...
  4. baz kaiza

    PostGE2025 Msamaha kwa kosa gani? Hakuna msamaha wowote, Gwajima hakuwa na kosa lolote kupelekea Kufungia kanisa zaidi ya uonevu

    Viongozi wana tabia ya kutaengeza tatizo na kuja kujifanya wamelitatua wakati ndo watengezaji wa tatizo Gwajima hakua na kosa lolote la...
  5. Penguinelli Cactussini

    Kwanini Mwigulu aagize kanisa la askofu Gwajima lifunguliwe?

    Ikiwa serikali inaamini kuwa kanisa la askofu Gwajima walikuwa na kosa why walifungulie kanisa hilo? Hili sio suala la “favor” isipokuwa ni kukandamizwa kwa uhuru wa kuabudu kulikofanywa na waliozuia huduma za kanisa hilo kuendelea wakati ule. Ukandamizaji ulifanywa na sasa wanarudishiwa pawa...
  6. tonicimmobility

    Mollel ashambuliwa mtandaoni baada ya kupost clip akimkashifu Gwajima kuwa kanisa lake limefungwa na yeye mwenyewe na wala si Rais Samia

    Wananchi wamemtiririshia majibu ya kumkashifu na kumshambulia baada ya kupost clip video inayoonyesha kuwa Rais Samia hajahusika na ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima lililo chini ya Askofu Gwajima. Godwin Mollel aliandika hivi ''Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe...
  7. Just Pray

    Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church...
  8. D

    Tumeihubiri injilii imeitika, Tunawashukuru wenyeji wetu kanisa la KKAM kwa kutusitiri wakati huu wa mpito: Sisi ni jeshi mbinguni duniani

    Hakika Tunawashukuru sana ndugu zetu katika kristo! Kanisa la KKAM kwa ukarimu wao kufurahi pamoja nasi katika kuitangaza injili leo. Waswahili husema jirani yako ndiye nduguyo, Nyumba ya mwenzio ikiwaka moto basi msitiri kwa muda! Tunawashukuru sana KKAM leo kwa kuwa pamoja nasi! Sisi...
  9. Waufukweni

    VIDEO: FFU watua kibabe kuongeza ulinzi maeneo ya Ubungo-Kibo

    Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada. Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi...
  10. Just Pray

    Tazama video hii polisi wakimpiga virungu muumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka...
  11. Just Pray

    Muumini wa kanisa la Askofu Gwajima awaombea polisi, asema 'nawafuta kazi'

    Waumini wa Kanisa la ufufo na uzima waonekana wakivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Inaelezwa Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika.
  12. Sozo_

    Suala la kanisa kufungiwa linaniumiza moyo wangu

    Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura. Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na...
  13. Heparin

    Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  14. Waufukweni

    Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  15. Keynez

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kusanyikeni mdai haki yenu ya kuabudu

    Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi. Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
  16. Ngongo

    Mfuasi wa Kanisa la Askofu Gwajima kindaki ndaki

    Ngongo ni mfuasi na muasisi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Baada ya dhehebu letu takatifu kufutwa na kuzuiliwa kushiriki katika ardhi ya Tanganyika sasa nimelazimika kuanza kuswali Ijumaa 🕌. Ustadhi Ngongo.
  17. Waufukweni

    CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  18. Mayor of kingstown

    Naunga mkono kufungiwa kwa kanisa la Askofu Gwajima

    Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya...
  19. Waufukweni

    ACT Wazalendo: Serikali isitishe kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima

    Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
  20. JanguKamaJangu

    Afande Muliro: Jeshi la Polisi limewachukua 'Watu kadhaa' katika Kanisa la Askofu Gwajima

    Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu kadhaa kutoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo kutokana na kile alichoeleza kuwa walikuwa wakizuia Jeshi hilo kutekeleza majukumu yake. Wakati tukielekeza nini cha...
Back
Top Bottom