kanda ya kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zee la madawa

    Kanda ya Kaskazini ni kanda ya ajabu sana. Sijui wapoje?

    Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Godlisten Malisa: Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kaskazini

    Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini, Wakili Samwel Welwel maeneo ya Kibaoni Arusha, akiwa anaelekea kijijini kwao Karatu. Amepelekwa kituo cha polisi Karatu na taarifa awali zinaeleza kuwa polisi wanamhoji kwa sababu "wanahisi"...
  3. K

    Kwa ushahidi mwingine uliotokea kwa ukamataji wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kaskazini jeshi la polisi linajitengaje na utekaji wa raia?

    Hivi polisi wanatuchukulia wajinga,kwa nini umkamate mtu kwa kumteka tena ukichukulia ni kiongozi. Walishindwa kumpigia simu aende kituoni, au walishindwa kumfwata ofisini kwake, au nyumbani kwake, mimi naaminini bila kelele za wananchi kwa kushikikiana na mitandao ya kijamii huyu alishapotea...
  4. Inside10

    Mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda Ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana

    Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha. Taarifa zaidi kukujia
  5. Mchagah

    Utalii Kanda ya Kaskazini

    Kwa wale Wapenzi wa Safari walioko Kaskazini Twendeni tukapunguze stress za Ugumu wa Maisha🤗😋
  6. N

    Kampeni ya ‘Anzia Ulipo’yazinduliwa rasmi Dodoma

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
  7. figganigga

    PreGE2025 Matukio katika picha za Uzinduzi wa Kampeni ya No reforms no Election kanda ya Kaskazini

    Matukio katika picha, uzinduzi wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kaskazini leo tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha. Comment ziwe fupi fupi. CCM nawapa Ruhusa kuonesha hasira zenu. Temeni nyongo tuone kiwango cha upumbavu wenu
  8. Mindyou

    PreGE2025 Emma Kimambo: Lema amesababishia maumivu watu wengi, amehusika kufukuza wanachama wenzetu

    Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu ya kisiasa kwa watu wengi wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla wake, hatua iliyopelekea baadhi...
  9. JanguKamaJangu

    Dkt. Mollel: Utafiti unaonesha Wagonjwa wengi wa Ocean Road wanatokea Kanda ya Kaskazini si Kanda ya Ziwa

    Akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge Joseph Michael Mkundi Bungeni leo Aprili 14, 2025 aliyehoji “Takwimu zinaonesha Wagonjwa wengi wa Saratani waliopo katika Taasisi ya Ocean Road wanatokea Kanda ya Ziwa, kwa nini Serikali isiboreshe Hospitali ya Rufaa ya Bugando Kitengo cha Saratani ili...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Kimenuka CHADEMA kaskazini: Viongozi walioweka saini waraka wa G55 kuitwa kuthibitisha, watakaobainika kukisaliti chama hatua kali kuchukuliwa

    TAARIFA KWA UMΜΑ Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka ili; 1. Kuthibitisha kama kweli saini zilizowekwa ni zao, na kama walihusika moja kwa moja kwenye...
  11. A

    Kilimo Kanda ya kaskazini msimu wa 2025

    Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
  12. T

    Kwanini Tanzania inapanga kununua umeme kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini

    Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    Kanda ya kaskazini kutoa wazee 3 kati ya 8 watakao simamia uchaguzi CHADEMA ni dalili nzuri kwa mjomba angu

    Nimebubujikwa na machozi ya furaha baanda ya kuona ndugu yangu John Mnyika kajitosa kuokoa jahazi baada ya kuchagua wazee 3 toka kaskazini. (Kuna kanda hazijatoa mzee hata 1:D) Napendekeza CCM itusaidie pia karatasi za kupigia kura zenye kale ka teknolojia ketu pamoja na askari wa kuzuia fujo...
  14. Waufukweni

    CHADEMA yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Kanda ya Kaskazini na Kati

    Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati. Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa...
  15. R

    Natafuta wakulima wa choroko kanda ya kaskazini

    Habari wakuu. Nahitaji kuwasiliana na wakulima wa choroko mikoa ya kaskazini kwa mazungumzo ya kibiashara.
  16. Cute Wife

    LGE2024 Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

    Wakuu, Hawa ndio wahuni waliotajwa kupachikwa CHADEMA kufanya hujuma Uchaguzi Serikali za Mitaa! Kaka anapayuka kwelikweli kumbe sio siyo mgombea aloyekutana na kashkash za kukatwa majina🤣🤣😂😂 sasa analalamika kuonewa wapi? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Angalia video hapo ucheke na wewe.
  17. Lord Denning

    Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

    Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa. Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA ina Mashujaa wasiokata tamaa, ni bora tufe tumesimama kuliko tuishi tumepiga magoti!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa...
  19. J

    Stendi ya Kibo Complex kijengwe kituo kidogo cha Polisi kutulinda wasafiri wa Kaskazini na Bus zote zifunge Camera

    Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi Nawasilisha!
  20. Kadodo1

    Taarifa kwa umma Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia tarehe 26 Agosti 2024...
Back
Top Bottom