Kanali (Greek: Κανάλι) is a seaside village and a community in the Preveza regional unit, northwestern Greece. It was the seat of the former municipality Zalongo. The community consists of the villages Kanali, Kastrosykia, Mazi, Nea Thesi and Pidima Kyras. Kanali is situated on the Ionian Sea coast, 13 km north of Preveza.
The village Kastrosykia, 6 km northwest of Kanali, is the location of a city of ancient Epirus, probably of a port of Cassope.
Kuelekea tarehe 29 October,Tokea tusikie press ya afisa wa jeshi la wananchi Captain Tesha, Jeshi la wananchi limetoa press mbili na zote zikitolewa na Kaimu mkurugenzi wa mawasiliano KANALI Benard(Ex ADC wa Rais Magufuli)
Inatafakarisha na kujiuliza je msemaji mkuu wa jeshi KANALI ILONDA yuko...
Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema.
Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole.
Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli...
Mkuu wa mkoa wa mara kupitia waandishi wa habari amesema yafuataya ,Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza kwenye umwagiliaji wa mpunga: Kijiji cha Mariwanda (Bunda) – TSh milioni 213.05 na Kata ya Rabour (Rorya) – TSh milioni 982.82. Lengo ni kuongeza uzalishaji na kipato cha wanufaika. Pia...
==
Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025.
Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
Assalaamu a'laykum.
Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la waarabu " ( Rabiiu'l Arab ) ikiwa pamoja na tukio la mapinduzi kisha mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa...
Ameangamizwa ❌
Shambulio la anga la Israel usiku wa kuamkia leo limemwangamiza Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha "ANTI-TERROR" cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Hamas, alipokuwa amelala kwenye hema lake.
Huyu kanali wa US anatoa siri kuwa US kupitia CIA waliwatumia wa Uyghurs katika jimbo la Xinjiang ili kuiharibu China kwa ndani utokee mvurugano ili waweze kuidhibiti China.
Pia anasema wanatumia military power kuharibu mpango wa China wa B.R.I pia kagusia suala la US kupeleka majeshi...
Aliyekuwa mpambe wa wa Rais Magufuli, Kanali Benard Paul Mlunga akimsikiliza Brigedia Jenerali Ibuge (hayupo pichani) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa.
Kanali Mlunga alijipatia umaarufu enzi ya hayati Magufuli kea uchapaji wake kazi uliotukuka.
Nilijua alishapanda cheo kumbe amebakia...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Kwa mujibu wa Kanuni za kijeshi Kanali anatakiwa awe na vigezo au sifa zipi ili kusudi apandishwe cheo na kuwa Brigedia Jenerali?
Je, inaweza kutokea akapandishwa cheo bila kuzingatia Kanuni hizo za kijeshi? Nasisitiza vigezo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.