Kampuni ya ulinzi ya Garda World imeendelea kukiuka haki za wafanyakazi wake kwa kushindwa kuongeza mishahara.
Mbali na hilo, kampuni hiyo imekaa kimya kabisa kuhusu utekelezaji wa agizo la Serikali la kuongeza mishahara katika sekta binafsi kuanzia mwaka 2026, jambo linaloashiria dharau kwa...
Anonymous
Thread
agizo
gardaworld
kampunikampuniyaulinzi
kuhusu
kutimiza
mishahara
ongezeko
serikali
tanzania
ulinzi
utumishi wa umma
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi.
Tumewekewa chini ya 480k na...
Anonymous
Thread
kampunikampuniyaulinzi
mambo
maslahi
maslahi ya wafanyakazi
sawa
ulinzi
uongozi
wafanyakazi
Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya...
Salute.
Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world.
Kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa...
Wakuu habari za majukumu,
Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili.
Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza kufanya kazi,lakini kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu nimetangaza kuiuza, Hivyo kama kuna...
Habari!
Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested
Mawasiliano.
0672650624
Jumapili January 17 2021
Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni mbili (Sh4.4 bilioni) bila kutumia nguvu kubwa.
Kiasi cha fedha alichodaiwa kupora, staili aliyotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.