kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi Kampeni: Mgombea wa Mbeya Vijijini ubunge

    17 September 2020 Mbeya Vijijini Tanzania Kamanda China wa China Joseph Mwasote Mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA kamanda Joseph Mwasote hatimaye azindua kampeni yake ya 2020 baada ya Tume ya Uchaguzi kurudisha jina lake liliokuwa limeenguliwa kufuatia pingamizi alilowekewa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Nilichoshuhudia kwenye kampeni za Tundu Lissu Sumbawanga, CHADEMA inafeli kwenye mikakati

    Habarini wapiga kura wenzangu. Jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa Kampeni wa mgombea wa CHADEMA ndugu Tundu Lissu, kiukweli watu walijitokeza wengi sana kumlaki na walionesha ushirikiano kwa kumsindikiza kwa maandamano hadi hotelini kwake hiyo ni mida ya saa mbili usiku, polisi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongereni timu za kampeni Uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kutupilia mbali siasa za majitaka

    Mpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea. Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu. Uchaguzi wa 2015 mwingine aliambiwa eti ni mgonjwa. Hongereni vyama vyote kwa kufanya kampeni za kisayansi. Tunatumaini hii hali...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Trump karuka kiunzi: Hakukuwa na njama kati ya Urusi na timu ya kampeni ya Trump

    Mambo yamegeuka ghafla!! Muller ametoa ripoti yake iliyomsafisha Trump kuwa hakukuwa na njama zozote kati ya Trump na Urusi ili kuingilia uchaguzi wa Marekati hapo 2016. Kuna uwezekano mkubwa wa Obama na Mama Clinton kuundiwa tume ya kuwachunguza kuona kama walikula njama za kutaka kumtoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…