kampeni za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Issa Gavu wa CCM awasili Geita kuzindua kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa

    GAVU AWASILI GEITA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa zimeanza, una matarajio gani kwa wagombea? Je, CCM itatoboa ushindi 99.9% kama 2019?

    Wakuu, Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono. Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi huu? Unadhani CCM watatoboa tena ushindi wa 99.9% kama ilivyokuwa 2019? Baada ya enguliwa nyingi kwa...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mmeziona kanuni za kuendesha kampeni za Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa? Kwanini Mkuu Wa Polisi Wilaya amepewa nguvu kubwa hivi?

    Wakuu, Kama mnavyojua kesho kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaanza kesho. Wakati napitia hizi kanuni za kampeni za Uchaguzi kuna kipengele nimekiona ambacho kama wapinzani kinaweza kutumika vibaya Kulingana na kanuni za kampeni kipengele 27 (1) ni kwamba Mkuu Wa Polisi Wilaya ndio...
  4. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni za Uchaguzi Mkuu tayari zimeshaanza? Ahadi ya Lukuvi kujengea wananchi mabwawa inatia mashaka na kufikirisha!

    Wakuu, Kwani kampeni tayari zimeshaanza? Hivi karibuni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, ametangaza mpango wa kujenga mabwawa makubwa katika Tarafa ya Isimani ili kuboresha kilimo cha umwagiliaji na kukabiliana na uhaba wa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Shaaban Othman ampa kijana wa kundi maalum Tsh. Milioni 1 na kiti mwendo ili aweze kujikimu kimaisha

    Wakuu, Ni mwendo wa kusafisha njia tu sasa hivi ili 2025 mambo yawe marahisi! === Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Shaaban Ali Othman ametoa kiasi cha Tsh Milioni moja (1) kwa kijana wa Kundi maalum ambaye alikuwa na uhitaji na Mheshimiwa Waziri kuweza kumsaidia Kiti...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa zilivyofanyika kwenya mechi ya Simba Vs Yanga

    Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa. Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo...
  8. Removers

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 TAMISEMI na kampeni za Uchaguzi

    Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ? Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi. Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Kassim Majaliwa: Polisi msizuie Wananchi wanaokuja na mabango kwenye mikutano yangu

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero za wananchi, pia amesema hapangiwi ratiba. Katika kufafanua hilo Majaliwa amesema: Nitatembelea...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Karibu Watanzania wote wana asili na ushabiki wa Simba au Yanga; basi angalieni ofa za ufadhili wa timu zenu isiwe kampeni ya uchaguzi mkuu 2025!

    Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini? Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi sana. Tuliwahi kuuza nchi na watu wetu huko nyuma kwa zawadi za shanga na vioo vya kujitazamia...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina apokelewa na jeshi la akiba Sakasaka, aahidi kupeleka drip 500 na mifuko 100 ya simenti

    Kampeni hazijaanza lakini mambo ni motoo, yaani kila anayepata nafasi ni mwendo wa kujipigia chapuo tuu, kama hakupeleka alivyosema atapeleka jimboni huu ndio muda wa kuviwasilisha! Wacha tuendelee kunywa mtori nyaa tutazikuta chini! Mpina amepokelewa kwa shangwe ya kutosha Sakasaka katika...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

    Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇 Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha ujenzi wa barabara na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

    Salaam, shalom!! Kwa mara ya kwanza, kuna viongozi wapo madarakani, KAZI waliyopewa kuikamilisha, Bado hawajaimaliza,lakini ghafula wamegeuka na kuanza kujitangaza wazi wazi Kwa nafasi ya VITI walivyovikalia. Hadi sasa, vyama vyote vya upinzani na chama tawala havijafanya mchakato wowote...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

    Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu. Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400. Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama muda wa kampeni bado, je wanachofanya Kinana, Majaliwa na Jokate sio kampeni?

    Kaimu KATIBU MKUU wa CCM Bw. Macha hivi karibuni alipokuwa akihutubia katika Jimbo la UBUNGO alisema kuwa ni marufuku kuanza kampeni za UBUNGE na UDIWANI ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla ya Muda wake kufika na akaenda mbali zaidi kuwa Yeyote atakayebainika Jina Lake litakatwa wakati...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchi ambayo habari kubwa ni za kuwania kugombea nafasi za uchaguzi, ni "Failed State". Aibu ya Tanzania

    Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030. Kiashiria kikubwa cha nchi...
Back
Top Bottom