kampeni za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, nitawauliza wagombea urais ni hatua gani kali sana dhidi ya Watanzania wenzako unaweza kuchukua ili kuzima madai yao?

    Nina hamu sana ya kuwauliza wagombea Urais wa vyama mbalimbali maswali haya chini ikiwa nitapata nafasi ya kushiriki kwenye mdaharo wa wagombea uraisi; Miaka kadhaa iliyopita, Mwalimu Nyerere akiwa Mwenyekiti wa CCM alishauri Tanzania iingie kwenye mfumo wa vyama vingi japo ni asilimia 20% tu...
  2. Common Folk

    M/Kiti Baraza la Wazee DSM: Sisi tunatambua kampeni za uchaguzi na upigaji kura vilienda vizuri sana.

  3. McLaren

    GE2025 Mchambuzi wa siasa Dennis Muchunguzi: Watu wengi walijitokeza kusikiliza kampeni kwenye Uchaguzi wa mwaka huu

    Wakuu, Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dkt. Dennis Muchunguzi Dennis Muchunguzi amesema baadhi ya ahadi zilizotolewa na wagombea wakati wa kampeni zimekuwa za kuchekesha na zisizo na uhalisia, akitolea mfano mgombea aliyeahidi kufuga mamba Ikulu ili watu wenye matatizo waliwe na mamba.
  4. Common Folk

    GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  5. The Burning Spear

    GE2025 Una maoni gani na Kampeni za Uchaguzi 2025 kugeuka vitisho badala ya kuuza sera?

    GT. Mimi nashuhudia maajabu tu. Hakuna sera ni vitisho tu aha ha ha ha 😂 😆 🤣 nyie maCCM nani kawaambia sisi tunapiga kura. Kazi mnayo mwaka huu. Uchaguzi wenu ni wa mchongo. Haukubaliki duniani na mbinguni hatuji, kupiga kura.. Hamna sera mmebaki kutisha tisha watu hovyo bure kabisa.
  6. Mafyangula

    GE2025 Baba Levo: Inasikitisha sana kumuona kiongozi tuliyemuamini kuwa ni mpinzani anavizia wanaCCM kupiganao picha

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Baba Levo amesikitishwa na Mpinzani wake kutoka Chama cha ACT Wazalendo, kuomba kupiga picha na baadhi ya Wanachama wa CCM Kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho uliofanyika Mkoani Mwanza. "Inasikitisha sana kumuona kiongozi...
  7. Common Folk

    Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCK: Tutawashonea suti askari polisi, wale wazee wetu wastaafu tutawajengea nyumba mjini na vijijini

    CCK ikiingia madarakani itasimamia mchakato wa katiba mpya ambayo si kwa siasa pekee bali yenye kugusa maisha ya wananchi, akieleza kuwa uongozi uliopita muda wao umepitwa. "Watu wameng'ang'ania maofisi, vijana wenye elimu wanahangaika, CCK tukiingia madarakani ni kuwaondoa hao na kuwapa nafasi...
  9. DodomaTZ

    GE2025 Shuhudia nyomi linalomsindikiza Zitto Kabwe kwenye mkutano wa kuzindua Kampeni za Uchaguzi Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0 Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
  10. N

    GE2025 Dkt Samia Suluhu Hassan Mkoani Njombe kwenye Kampeni za uchaguzi

    RAIS DKT. SAMIA AWASHA MOTO WA MATUMAINI MAKAMBAKO Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 6 Septemba 2025 ameendelea kuonesha uongozi thabiti na dira ya maendeleo alipohutubia maelfu ya wananchi wa Makambako...
  11. Emilio Mzena

    Kwanini walinzi wa Magufuli walikuwa wanavaa sare za CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020?

    Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana. Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake. Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini...
  12. Roving Journalist

    GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  13. S

    Unaingia kwenye kampeni za uchaguzi wakati kiongozi wa kisiasa mwenye wafuasi wengi yuko ndani. Sasa huko kwenye kampeni utawambia nini wafuasi wake?

    Hili ndio swali ninalojiuliza. Labda niulize: Hili nalo linahitaji ushauri au kutumia commonsense tu? Kuna tofauti gani na mtu mwenye njaa anaenda kuomba unga kwa jirani wakati huo huo amemdhulumu jirani yake huyo shamba? Hawa watu kweli wamekoma kisiasa au bado sana? Mwenye majibu kama yupo.
  14. Wakusoma 12

    GE2025 Kisheria wagombea wote waliochukua form za kuwania urais wamekosa sifa ya kugombea kwani wameanza kampeni za uchaguzi kabla ya muda wake

    Huu uchaguzi wa mwaka huu unaendelea kutuonesha jambo la msingi sana la kuwa mamlaka yote hutanguliwa na watu. Mwaka huu tumetangaziwa kutakuwa na zoezi la uchaguzi mkuu lakini cha kushangaza kila mgombea ameanza kampeni kabla ya tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa kampeni. Kuanzia chama tawala...
  15. mtotofisi

    GE2025 Kampeni za uchaguzi kumrithi marehemu Ndugai zimeanza rasmi

    KONGWA. Kampení za uchaguzi kuwania ubunge kupitia chama Cha mapinduzi zimeanza Leo tarehe 15-8-2025, zikianzia Kata ya Kibaigwa . Wagombea wapo 13 ikiwemo 7 kati ya 10 waliowania pàmoja na Hayati Ndugai na ingizo jipya ni wagombea 6 Baada ya kifo Cha Ndugai Jumla ya watia Nia 24 walijitupa...
  16. Kitimoto

    GE2025 Maswali ya Msingi kwa Mgombea Urais, Wabunge na Madiwani wa CCM Wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Watanzania tunapaswa kutumia kampeni hizi kuuliza maswali ya msingi kwa viongozi wanaotaka kutuongoza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tunahitaji majibu ya kweli, siyo ahadi za maneno matupu. Zifuatazo ni baadhi ya kero ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu, lakini viongozi waliopo madarakani...
  17. R

    PreGE2025 Viongozi wa siasa washtukiwe, maafa ya mabadiliko ya hali ya hewa hayapaswi kusahaulika Katika Ilani ya chama na kampeni za uchaguzi 2025

    Wakuu, Nimekua nikitafakari sana kuhusu hizi vurugu za wanasiasa pande zote upinzani na CCM, nikisikiliza hoja zao wakijiandaa na uchaguzi mkuu October 2025 Kwa hamu sana nilitamani nisikie wakiongelea Maafa yanayowakumba wananchi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hasa mafuriko ila ni...
  18. cutelove

    Sherehe ni za Mei mosi au kampeni za uchaguzi

    Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM wanatamani Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani asema vijana wa chama hicho wanatamani Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Back
Top Bottom