Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano, kupitia chama cha Ukombozi wa UUMA (CHAUMMA) Bw. Salum Mwalim ameahidi kufufua viwanda vya chai vilivyofungwa nchini, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo ili kuchechemua shughuli za uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa baada ya zao la chai kudorora.
Soma pia...