kampeni za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Msanii kuimba kwenye kampeni za CCM ni ajira yake

    Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani...
  2. Mafyangula

    PostGE2025 Damas Ndumbaro: Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za CCM

    Damas Ndumbaro: Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali. Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za Uchaguzi Mkuu...
  3. Mafyangula

    GE2025 Maroli yanasomba watu usiku huu Mwanza, ili kesho wajaze uwanja kwenye mkutano wa Samia

    Aibu kubwa mno! Yani nyie CCM si mnasemaga mnawatu wa kutosha na kama wanakipenda chama chao watakuja wenyewe kwenye hizo kampeni. kwanini mnanengeneka kuwasomba watu tena usiku kama ng'ombe au mbuzi? Embu acheni ushamba wenu! Nyie dawa yenu imeshaiva jikoni subiri mnyweshe sasa...
  4. Mafyangula

    GE2025 Samia: Tutajenga kituo cha mabasi Mkuranga

    Baada ya kilio cha muda mrefu cha wakazi wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania cha kukosa kituo kikuu cha mabasi, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi sasa kitajengwa katika eneo la Mkuranga mkoani Pwani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwandege...
  5. tonicimmobility

    GE2025 Samia: Tumedumisha amani, demokrasia na uhuru wa kutoa maoni

    Katika Kipindi cha miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan imetajwa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kudumisha amani, demokrasia na utawala bora nchini kwa kuimarisha na kukuza uhuru wa vyombo vya habari pamoja na kuimarisha uhuru wa asasi za...
  6. Mafyangula

    GE2025 BabaLevo: Samia ametoa zaidi ya Bil. 4 ili kujengwa kwa mifereji ya kutoa maji kata ya Katubuka

    Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo amesema kuwa rais Samia ametoa zaidi ya Bil. 4 ili kujengwa kwa mifereji ya kutoa maji kata ya Katubuka.
  7. Mafyangula

    GE2025 Paresso: Watanzania twendeni tukaweke historia kwa kumchagua Rais wa kwanza mwanamke anayetokana na kura za Watanzania

    Watu wakapige kura kwaajili ya maendeleo au kwaajili ya kuweka historia ya mtu? Huu ni ushamba mwingi bhana unachekesha sana. Uchawa uchawa uchawa tuuuu! ============== "kura yako ya ndiyo ni yenye thamani kubwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan tumpe ahsante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kipindi...
  8. Mafyangula

    GE2025 Samia: Kama unakaa pazuri, unakula vizuri, afya nzuri, maji unayapata maana yake furaha ipo tu

    Hapo kwanza nichekee! Samia kumbuka kuna familia hawajui wapi walipo ndugu zao, wametekwa ============= Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika eneo la furaha na uhuru kwa Watanzania, serikali...
  9. Its Tesha

    Watu wapata ajali ya Trekta wakiwa wanaenda kwenye kampeni za CCM

    Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala. ====== CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama...
  10. Mafyangula

    GE2025 Rais Samia aahidi Kukamilisha Ujenzi wa Tawi la UDSM Kagera

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kusimamia kukamilika kwa ujenzi wa tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mkoani Kagera, ambalo limefikia asilimia 70 ya utekelezaji. Amesema, iwapo ataendelea kuaminiwa...
  11. Mafyangula

    GE2025 Bashiru: Samia amezishinda siasa uzalendo uchwara

    "Umadhubuti wa Chama chetu na hasa umadhubuti wa uongozi wako Dkt. Samia Suluhu Hassan katika vipindi ambavyo dunia imetikiswa, si Tanzania peke yake, tumepigwa na korona, kuna mabadiliko ya tabia nchi, kuna vita ambavyo vinatikisa uchumi wa dunia lakini pia kumezuka siasa za kujitambulisha kwa...
  12. M

    Chato: Mahudhurio hafifu mkutano wa Kampeni za CCM. Malori na mabasi ya CCM yamejaa uwanja Muungano

    Bila kusombwa na Mabasi na Malori Mikutano ya CCM haiwezikupata watu Uwanja wa Muungano stand ya zamani umejaa watoto wa shule na akina Mama
  13. B

    GE2025 CCM washughulikiana wenyewe kwa wenyewe kwenye kampeni. Ama kweli washughulikiwe!

    Clip inajieleza wazi: Video hii inaonyesha baadhi ya wanaCCM walifika kwenye moja ya mkutano wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho ambaye ni Samia Suluhu Hassan, wakiwa wanafutana kana kwamba walikuwa wagigombania kitu fulani hapo. Hali hiyo ilimfanya rais Samia kutoa maagizo hapo hapo...
  14. tonicimmobility

    GE2025 Samia asisitiza katiba mpya itakamilika awamu ya sita

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa mchakato wakupata Katiba mpya utakaika katika kipindi cha awamu ya sita. Soma pia: Samia: Tutaendeleza mchakato wa Katiba Mpya kama ilivyo katika ilani yetu ya CCM “Pamoja...
  15. tonicimmobility

    GE2025 Samia: Tunajenga uwanja wa ndege Serengeti kukuza utalii

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Uwanja wa ndege Mugumu Serengeti kama sehemu ya kutimiza adhma ya Chama Cha Mapinduzi ya kufikisha idadi ya watalii Milioni nane wanaoitembelea Tanzania kwa mwaka kufikia...
  16. tonicimmobility

    GE2025 Mkoba wa CHADEMA atambulishwa rasmi kuwa mwanachama wa CCM, asema ''siko tayari kuongoza jeshi la watu walemavu''

    Aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 08,2025 katika mkutano wa kampeni za Mgombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho uliofanyika jijini Mwanza Dkt. Samia amempokea Mwanasiasa huyo...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Samia: Uendeshaji wa nchi, hakuna majaribio, CCM ndio yenye uzoefu

    Naona kama Samia anawatisha wapinzani wake! Hata hao wapinzani wanauwezo wa kuongeza nchi na kupata uzoefu na kuleta maendeleo makubwa kwenye nchi Mbona wale CHADEMA mnawaletea figisu kila kukicha? Kama nyinyi mnajiona mnauzoefu, wekeni mpira kati kila mtu ashinde mechi zake sasa...
  18. Mafyangula

    GE2025 Mchengerwa: Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo

    Mkwe wa Samia naona anavyoendelea kuwaada wananchi wa Rufiji ============ Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mohamed Mchengerwa ameweka wazi kuwa Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo. Mchengerwaameeleza...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wananchi Busega: Waacheni waseme, maendeleo aliyoyafanya Samia tunayajua sisi

    Kumbe kwao mambo safi! Au uchawa wa kupewa 2000 wanajiona wamemaliza shida zao? ==================== Wananchi wilayani Busega wameeleza kuwa wanafahamu kazi kubwa iliyofanywa na mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Dk Samia Suluhu Hassan hivyo hawadanganyiki na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kumpokea Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Vituko vinaendelea huko! Pesa zinasakwa jamani kwa kila njia Yani unajidhalilisha kisa mtu ambae akitoka hapo akukumbuki tena. Ni Huzuni kwa kweli =========================== Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kwa furaha wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt...
Back
Top Bottom