kampeni ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Masanja Kadogosa: Samia alishamaliza kazi. Kwa sasa anapita tu kuwasalimia wananchi

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha...
  2. Damaso

    Mara paaaa unamuona mama yako hapo

    Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini. Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi
  3. DuaZaMama

    GE2025 CCM: Watu milioni 14 wamejitokeza kwenye kampeni, milioni 31 wametazama kupitia vyombo vya habari

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea wake Samia Suluhu Hassan tayari zaidi ya wananchi milioni 45 wameshiriki kikamilifu kwa kufuatilia...
  4. McLaren

    GE2025 Uchaguzi Tanzania 2025: Kampeni za mwaka huu hazina mvuto ukilinganisha na miaka iliyopita

    Kampeni za mwaka huu hazina mvuto ukilinganisha na miaka iliyopita," anasema mchambuzi wa siasa za ndani, Mohamed Issa, akieleza hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Tanzania mwezi mmoja tangu kuanza rasmi kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Kwa sasa, picha kubwa inayoonekana ni chama...
  5. McLaren

    GE2025 CCM wana hofu gani? Magari yote haya huko Arusha ni kwa faida ya nani na wanajua "watashinda" Uchaguzi?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya magari ikiwemo mabasi na maland cruiser yakiwa na picha za Makonda na Samia huku yakiwa yamerembwa na rangi za CCM Lissu yuko gerezani, Mpina kapigwaa stop kugombea na the so called Tume na CHADEMA wenyewe hawashiriki kwenye Uchaguzi. In reality CCM iko...
  6. Mindyou

    GE2025 Mmasai kwenye kampeni: Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako.

    Wakuu, Wamasai nao wameunga tela kumsifia wagombea wa CCM na kuichagua CCM Huyu hapa Mmasai akiwa anamnadi Samia kwenye kampeni “Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako. Bila ya beach boy au bila ya Mmasai hakuna utalii kwa sababu wao hawawezi kujua mpaka...
  7. McLaren

    GE2025 Samia: Mkituchagua tutamaliza tatizo la umeme hafifu

    Kuna muda unasikiliza sera za CCM unaweza kudhani kuwa kwa miaka 60 iliyopita nchi ilikuwa chini ya CHADEMA au chama kingine Sasa suala la umeme ===================== Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa ndani ya miaka mitano ijayo ikiwa watanzania watampa...
  8. Idugunde

    GE2025 Hakuna kampeni CCM ni makelele ya kumsifia mkuu wa nchi na kujikomba kwa mkuu wa nchi

    Nimewasikiliza wagombea wengi wa udiwani kupitia CCM hasa nafasi za ubunge na udiwani. Hakuna wanachonadi hiyo ilani yao na sera zao. Watanadi vipi ilani ambayo kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru ni hayo hayo tu maahadi yasiyotekelezwa? Kipi kipya? Kero za maji, afya na hata elimu ni zilezile...
  9. McLaren

    GE2025 Wanaojitokeza kwenye mikutano ya kampeni za CCM wengi wanaonekana kuwa ni wanawake. Hii maana yake nini?

    Wakuu Nimekuwa nikifatilia mikutano ya kampeni ya CCM kwa ukaribu na most of the time wale wahudhuriaji wanakuwa ni wanawake. Ukiangalia live zao Youtube wanaoonekana kuhudhuria kwenye mikutno ni wanawake, sauti zinazosikika kushngilia ni za wanawake na hata picha za social media zinazopostiwa...
  10. JanguKamaJangu

    GE2025 Balozi Nchimbi asema yupo tayari na timamu kupokea maelekezo ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amebainisha kuwa yupo tayari na timamu kuzitafuta kura za ushindi za Chama Cha Mapinduzi CCM kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025, akiahidi pia kufanya kazi kwa bidii...
  11. D

    KERO GE2025 Rais Samia ni mgombea kama wengine. Watumishi na wanafunzi si mali ya CCM. TUGHE kemeeni barua za vitisho za waajiri juu ya wasiohudhuria kampeni CCM

    Hivi TUGHE hamzioni barua za vitisho toka kwa waajiri kuwalazimisha watumishi na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM? Barua za waajiri zinawataka watumishi kuhudhuria mikutano hiyo na mahudhurio kuchukuliwa uwanjani. Hii ni kinyume na utaratibu. TUGHE kama shirikisho...
  12. R

    Polepole naomba maoni yako kuhusu uchangiaji wa kampeni CCM

    Sitaki nikuinfluence, toa maoni yako.
  13. Mganguzi

    GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanaoanza kampeni kabla ya muda Handeni wapewa onyo kali

    Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga, baadhi ya wagombea waliyojitokeza wameeleza kuridhishwa na maandalizi yaliyofanywa na chama katika wilaya hiyo. Zoezi hilo...
  15. Samia atosha tukutane2030

    PreGE2025 CCM kabla hamjawatumia bodaboda kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2025 tunaomba mtoe takwimu za vifo vya bodaboda

    Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda. Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana kapata ajali Ubungo. Hili tatizo la vifo vya bodaboda halionekani kubwa kwakuwa hakuna gazeti, redio au...
  16. CM 1774858

    LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu. CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
  17. Hamduni

    LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  18. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Diwani wa Kata ya Wazo Tungaraza: Ukiona wapizani wameshinda ujue ni mkawanyiko miongoni mwa wana CCM

    Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika maneno haya. “Ndugu zangu siri ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni umoja miongoni mwa wanaCCM...
  19. CM 1774858

    LGE2024 Uzinduzi wa Kampeni za CCM za Serikali za Mitaa mkoa wa Dar

    LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM. MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM Chama Cha Mapinduzi https://www.youtube.com/live/JvhEBb6Julc?si=5Cm70GRr3xMZdRlb Global TV...
  20. R

    PreGE2025 Nani anafaa kuwa kampeni meneja wa Mgombea Urais wa CCM 2025?

    Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa. Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko mwenye maono ya chama. Kampeni meneja mwenye maono na asiyefungamana na upande wowote anaweza...
Back
Top Bottom