kamera

The Goldene Kamera (English: Golden Camera) is an annual German film and television award, awarded by the Funke Mediengruppe. The award show (Verleihung der Goldenen Kamera) is usually held in early February in Hamburg, but has also taken place in Berlin in the past.The gold-plated silver award model was created by Berlin artist Wolfram Beck. It is 25 centimetres (9.8 in) high and weighs around 900 grams (2.0 lb).

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Facebook yashtakiwa tena ikituhumiwa kuingilia faragha za watumiaji wa Istagram kupitia kamera za simu

    Kampuni ya Facebook imeshtakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya watumiaji. Facebook imekanusha tuhuma hizo na kueleza kuwa kulikuwa na hitilafu ya programu (bug) ambayo inairekebisha. Imesema kuwa ‘bug’ hiyo ilikuwa ikitoa taarifa...
  2. Askari wa motoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kamera aina ya canon 600d kwa laki 4 na nusu offer

    Haina tatizo Ina betri lake Lenz 18_55mm Mawasiliano. 0757 936 699 Dar es salam, Kinondoni .
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  4. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tecno spark 5, simu yenye kamera 5 kuzinduliwa

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15. Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
Back
Top Bottom