kambona

Oscar Salathiel Kambona (13 August 1928 – 3 June 1997) was the first Minister of Foreign Affairs of Tanganyika from 1963 to 1966.
The son of the Reverend David Kambona and Miriam Kambona, Kambona's father was among the first African priests to be ordained into the Anglican Church of Tanganyika. He received his elementary school education at home taught by his parents and uncle, all of whom were teachers. Kambona was then sent to St. Barnabas Middle School in Liuli, Southern Tanganyika, near his home. He subsequently attended Alliance Secondary School in Dodoma, Central Tanganyika.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Nyerere angewasikiliza Mtei na Kambona uchumi wa Tanzania ungekuwa mkubwa sana

    Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana. Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
  2. ELI COHEN

    Uzi wa Tanzania alioiona Oscar Kambona na Uzi wa dark days, upi ni bora kwako?

    Hizi nyuzi ni kati ya masterpiece kuwahi kuandikwa humu JF.
  3. Moto wa volcano

    Wa Tanzania hatumtendei haki Oscar kambona

    Mchachango wa Oscar kambona ktk Taifa letu ni mkubwa sana lakini inastajabisha kuona mtu huyu hakumbukwi kwa lolote lile hakuna hata mradi uliopewa jina lake !? , kwakweli Jasho la huyu mtu kulipigania Taifa hili limedhulumiwa anamchango mkubwa wa kupigania mfumo wa vyama vingi katika nchi hii...
  4. Lord Denning

    Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
  5. Yoda

    Lugha ya Mwl. Nyerere kwa Oscar Kambona ina mchango hasi kiasi gani kwa uonevu upinzani uliopitia na unaopitia sasa?

    Mojawapo ya Icon wakubwa wa upinzani na mawazo mbdala katika nchi yetu ni Oscar Kambona aliyetoka kuwa swahiba na mtu wa karibu wa Nyerere mpaka kuwa mkosoaji wake mkuu. Lugha aliyokuwa anatumia Nyerere kumkosoa Kambona hadharani ilikuwa kali sana na isiyo ya kiungwana kwa nyakati hizo, hatujui...
  6. Carlos The Jackal

    Kuvamiwa kwa dada wa Polepole, kumenikumbusha Historia ya kutekwa kwa kaka zake Kambona

    Hamna Jipya chini ya Jua. Ila safari hiii Utekaji umefanywa dhidi ya MTU ambaye ni Mzalendo kwelikweli. Hivi Polepole Kwa namna alivyo Mzalendo, ni wa kumtekea Familia yake???.
  7. Sky Eclat

    The Rise and Fall of Oscar Salathiel Kambona

    Picha: Oscar Salathiel Kambona Oscar Salathiel Kambona boarded East African Airways flight 720 in Nairobi, Kenya in the evening of July 26, 1967 for Europe. He had reached a point of no return. Earlier that day, Kambona, his wife, children, and house attendant drove from Dar es Salaam secretly...
Back
Top Bottom